Tulitegemea iwe tamu kwa miaka walau 3. Lkn looh! Imeanza kuharibika mapema mno. Radha ya utendaji kazi wa JPM imeharibiwa na mambo matatu:-
- Bomoaboma inayoumiza wanyonge. Walipewa vibali halali na watendaji wa serikali ya chama chako. Lkn ni watendaji hao hao wanao amka alfajiri na mapema kubomoa nyumba hizo za wanyonge. Wakilia hawasikilizwi.
Ni kilio cha samaki.
- Kuufyata kwa serikali ya JPM kwa wamiliki wa shule binafsi. Hawa wamiliki walipo tishia kutofungua shule zao kesho yake KATIBU wa wizara Sifuni Mchome akajichoma mwenyewe.
Akayakanusha maandiko ya wizara yake mwenyewe kwa maneno rahisi ati yana nukuliwa vibaya. Lol! Sifuni acha hizo. Sema kweli tu kuwa mumeufyata. Chezea Bongo wewe!? Na hapo bado hamjaanza kuwaghasi wauza sembe. Mtaweza kweli?
- Ni Jana tu JPM alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa majibu makavu na nyodo utadhani wake wenza waliogombana. Kila MTU alibakia kinywa wazi akimshangaa JPM kuwa kaingiwa na uwendawazimu wa madaraka ama vipi?
Tuna wasiwasi kama Pombe hii itatufikisha mwisho wa sherehe. Imeanza kuchachuka mapema mno.