Polycyt Ovary Syndrome (PCOS)

ngawia

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
735
743
Habari wadau naomba msaada mke wangu anasumbuliwa na PCOS Ni mwaka wa tano sasa anaweza vidonge bila mafanikio katika hospital tofauti.

Naomba mwenye experience na hili tatizo, Je opesheni inaweza kuwa ndio suluhisho la hili tatizo?
 
Inategemea operation is the best way japo pagumu mm nliambiwa op nkagoma nkanywa dawa ikasaidia so its depend kama imekuwa kwa kias kikubwa.....kamuone doctar kapona yupo chanika ni best doctar mkeo ata concive tu
 
Back
Top Bottom