Vijana wanafanya 'MAZOEZI'makali? Inabidi sasa na upande wapili waanze 'MAZOEZI'makali maana huko tuendako sio kuzuri hata kidogo!
mkuu nataman nimwage nyongo yangu ila naogopa yasinikute ya sweetlady najua mda si mrefu hii itakuwa closed topicmwinyi si muislam kasema kila mtu achinje na ale kile anachotaka ,tena lhaji kabisa!!sioni sababu yakugombea kuchinja wanalao jambo
ni yaleyale tu sawa na B1 stealthbomber inayoporomosha mabomu toka angani na kuua watoto na watu wasio na hatia.Vipi, unasema ile ndege iliyolipuwa New York twin Towers ile September eleven?
Hizo karate na majambia wao,sisi tutachukua mafuzo ya kushika mitutu na umafia hawatutishi haoVijana wanafanya 'MAZOEZI'makali? Inabidi sasa na upande wapili waanze 'MAZOEZI'makali maana huko tuendako sio kuzuri hata kidogo!
Watanzania tungekuwa wazalendo wa ukweli na tunajali na kuthamini sheria ya nchi inayosema serikali haina dini bali ni wananchi wake, NADHANI MALALAMIKO YA WAISLAMU KUWA BAKWATA NI YA SERIKALI NA HAINA UHALALI WA KUWAWAKILISHA WAISLAMU LINGESHAFANYIWA KAZI SIKU NYINGI. Ha hiyo ingekuwa ni moja ya suluhisho kwani leo hii ukitaka kuongea na Waislamu utatumia chombo gani? au watawaambia ma imamu wa kila msikiti nchi nzima?. Ingetakiwa kufuata mfumo walionao upande wa pili ambao wana chombo chao kinachoweza kusema kwa niaba ya waumini wao.
Siasa za Tanzania na BAKWATA tangu aondoke Hemed bin Jumaa zimekuwa za kiaina yake, ndio maana leo kila kona kuna maamuzi yake.
Please kama serikai kweli inajali uhuru wa waislamu iwaachie waendeshe wenyewe chombo chao (Mbadala wa BAKWATA) ambacho kitakuwa na uhalali wa kuwaongoza ikiwa ni pamoja na kushughulikia matatizo yao wanayolaumu kila siku huku wakidai hayasikilizwi.
Kuhusu mazoezi makali si mara ya kwanza kusikia, nilisikia kutoka kwa rafiki yangu kwamba ameshuhudia takriban watu 50 wakifanya mazoezi makali ya kutumia jambia katika msikiti uliopo majengo-Arusha
Jamani watanzania wenzangu kama kuna mtu anajua madhara ya vita naomba tuombe haya wanayotaka yatokee kamwe yasitokee, vita ni kitu kingine jamani....
Take a lesson kwa yaliyotokea sieraleon kipindi cha rebellion, kenya-mungiki, mauaji ya kimbari rwanda mpate kujua maana ya kusema vita ni nini
Hayo ni katika kutaka kuongoza na ukabili, je hili la imani itakuaje?
Amani Tanzania imebaki kwenye documentary.
Kama uislam ni upande wa kwanza je, mfumo wa upande wa pili ni upi huo ambao una chombo cha kuwasemea waumini wau?
Wakatoliki chombo chao ni Vatican, na kamwe hutasikia Vatican ikijikita kuwasemea wakatoliki tu. Vatican ni chombo pekee duniani kinawasemea binadamu wote, bila kujali imani zao, utaifa wao, vyama vyao, rangi yao, maaadam hao wanaosemewa wamesimama upande wa haki hawako upande wa dhuluma.
wanotoa kashfa na vitisho kwa dini nyingine serikali hii inawafahamu hakuna siri yoyote swala je ni kwa nini wachochezi hao wanaokashifu dini nyingine na kufanya wanavyotaka hawashughulikiwi?
Kuhusu mazoezi makali si mara ya kwanza kusikia, nilisikia kutoka kwa rafiki yangu kwamba ameshuhudia takriban watu 50 wakifanya mazoezi makali ya kutumia jambia katika msikiti uliopo majengo-Arusha
Jamani watanzania wenzangu kama kuna mtu anajua madhara ya vita naomba tuombe haya wanayotaka yatokee kamwe yasitokee, vita ni kitu kingine jamani....
Take a lesson kwa yaliyotokea sieraleon kipindi cha rebellion, kenya-mungiki, mauaji ya kimbari rwanda mpate kujua maana ya kusema vita ni nini
Hayo ni katika kutaka kuongoza na ukabili, je hili la imani itakuaje?
Amani Tanzania imebaki kwenye documentary.
Tuwaite waisrael waje angalau wiki moja waue magaidi yote
kazi kwa serikali ya kikwete.
Kama wanaonyesha na vijana wanafanya mazoezi basi tumekwisha.
Kwa mara nyingine namkumbuka mkapa, alikua na sauti ya kimamlaka.
Mungu tuepushe na hili janga.!