kwahiyo hiyo cd na huyo imam ni mlengo gani
Hakuna ugomvi wa kidini tanzania,wakristo na waislam tumeishi pamoja kwa amani miaka mingi mno,ninacho kiona mimi ni siasa za maji taka za viongozi wa kisiasa,chuki hii inayoonekana ni za kuundwa na viongozi wa kisisa lengo ikiwa ni kutugawa tusiwe wamoja kwa kuhofia kushindwa uchaguzi mkuu ujao 2015.
kwani MOU si ilisainiwa na serikali ya ccm na sasa inatekelezwa na jk
huu ni upuuzi, watz ni watu wa aman
Kikwete alipolianzisha alihisi jambo la kitoto, haya sasa watu wanajibu wito wa jihad
Hatari ni kubwa sna
katika hii hali maana mimi nina clip moja nimetumiwa na rafiki yangu
whatsapp mpaka sasa sijaielewa inamuonyesha kiongozi wa kiisilam mwenye
nafasi ya shekh akisema kuwa shekh akiuwawa muisilam akiachoma matairi
barabarani au akiandamana ameshinda inatakiwa amkamate Padri wamchinje
kwa kujificha au dhahiri huyu ni kiongozi wa dini hii hali inatupeleka
wapi!? Inatakiwa ifike mahali kama serikali haina upande katika izi dini
mbili wazungumze bila kung'ata maneno na wachukue hatua tuone matendo
maana kuongea ni rahisi sana tunahitaji vitendo
Kikwete alipolianzisha alihisi jambo la kitoto, haya sasa watu wanajibu wito wa jihad
wakati MOU inasainiwa mwaka 1992, nchi ilikuwa inafuata mfumo wa chama kimoja. kumbuka pia nafasi karibu zote nyeti zilishikwa na wakristo ukiachilia mbali nafasi ya urais ambayo ilikuwa chini ya mzee ruksa. hivyo kila kitu yeye alikubali tu na ndo maana hayati nyerere alimwachia nchi kwa vile alimwona ni dhaifu hivyo hataweza kupinga maamuzi ya kanisa

Serikali haiko dhahiri kupambana na hili,sjui malego yake....
kwahiyo kama mwinyi
(muislam)alikuwa dhaifu basi na kikwete (muislam) ni DHAIFU maana bado
anaig'ang'ania MOU
chanzo cha hiyo story ni mlengo uleule wa wachochezi wa kidini. wanajiona wao ni bora zaidi kuliko wengine