Poll ya online ya Gazeti la Raia Mwema yamuweka pabaya Magufuli

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Katika account ya twitter ya gazeti la Raia Mwema (Raia Mwema Limited), kuna kura ya maoni inaendelea kuhusu utendaji wa Raisi Magufuli na serikali yake katika kuinua uchumi wa nchi.

Matokeo ya kura hiyo ya maoni ya kupima kazi inayofanywa na Magufuli mpaka muda huu napoandika hii post ni kama ifutavyo:

Si nzuri kabisa-46%

Si nzuri-19%

Nzuri-17%

Ni nzuri sana-17%

Kura bado zinaendekea kupigwa na mpaka sas watu waliopiga kura ni 315 na zimebaki siku 5 upigaji kura kufungwa.

Search RaiaMwema Limited twitter kuona matokeo zaidi na pia kupiga kura yako ukipenda.
 
Boss Salary Slip hakuna Bao la Mkono huko kwenye Twitter ya Raia Mwema? Wewe ushapiga Kura yako?

Ngojea na mimi nikapige Kura yangu.

Katika account ya twitter ya gazeti la Raia Mwema (Raia Mwema Limited), kuna kura ya maoni inaendelea kuhusu utendaji wa Raisi Magufuli na serikali yake katika kuinua uchumi wa nchi.

Matokeo ya kura hiyo ya maoni ya kupima kazi inayofanywa na Magufuli mpaka muda huu napoandika hii post ni kama ifutavyo:

Si nzuri kabisa-46%

Si nzuri-19%

Nzuri-17%

Ni nzuri sana-17%

Kura bado zinaendekea kupigwa na mpaka sas watu waliopiga kura ni 315 na zimebaki siku 5 upigaji kura kufungwa.

Search RaiaMwema Limited twitter kuona matokeo zaidi na pia kupiga kura yako ukipenda.
 
Katika account ya twitter ya gazeti la Raia Mwema (Raia Mwema Limited), kuna kura ya maoni inaendelea kuhusu utendaji wa Raisi Magufuli na serikali yake katika kuinua uchumi wa nchi.

Matokeo ya kura hiyo ya maoni ya kupima kazi inayofanywa na Magufuli mpaka muda huu napoandika hii post ni kama ifutavyo:

Si nzuri kabisa-46%

Si nzuri-19%

Nzuri-17%

Ni nzuri sana-17%

Kura bado zinaendekea kupigwa na mpaka sas watu waliopiga kura ni 315 na zimebaki siku 5 upigaji kura kufungwa.

Search RaiaMwema Limited twitter kuona matokeo zaidi na pia kupiga kura yako ukipenda.
Hizo kura zimepigwa na wapiga ma deal. Sisi Watz tunamwamini na tunamhitaji kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu
 
Haya matokeo yanaendana kabisana trend ya kuanguka kwa CMM tangu 2005, kura za ccm zinapungua kwa wastani wa asilimia 20 tangu 2005. Katika uchaguzi wa 2015, ccm ilishinda kwa 56%, ukitoa 20% (percentage point) hii mana yake 2020, CCM itapata kura kati ya 30% na 40%. Matokeo haya yanaonyesha ccm inapita humo humo. Ima wajiandae kuirudisha nchi Dar, au wageuke akina Kabila, lakini sioni dalili za CCM kushinda 2020.
 
Endeleeni kuota ndoto mpaka 2020 ndipo mtagundua ni ndoto baada ya ccm kuibuka na ushindi wa kishindo.
 
Katika account ya twitter ya gazeti la Raia Mwema (Raia Mwema Limited), kuna kura ya maoni inaendelea kuhusu utendaji wa Raisi Magufuli na serikali yake katika kuinua uchumi wa nchi.

Matokeo ya kura hiyo ya maoni ya kupima kazi inayofanywa na Magufuli mpaka muda huu napoandika hii post ni kama ifutavyo:

Si nzuri kabisa-46%

Si nzuri-19%

Nzuri-17%

Ni nzuri sana-17%

Kura bado zinaendekea kupigwa na mpaka sas watu waliopiga kura ni 315 na zimebaki siku 5 upigaji kura kufungwa.

Search RaiaMwema Limited twitter kuona matokeo zaidi na pia kupiga kura yako ukipenda.

2015 Magufuli hakuwa likely kushinda urais na hakuwa na mvuto wa kuwa rais. Cha kushangaza wengi, uchaguzi alishinda yeye na anazidi kufanya maajabu mpaka waafrika wenzetu wanamlilia. So this goes to say kuwa hii poll means nothing na msiitilie maanani.
 
Katika account ya twitter ya gazeti la Raia Mwema (Raia Mwema Limited), kuna kura ya maoni inaendelea kuhusu utendaji wa Raisi Magufuli na serikali yake katika kuinua uchumi wa nchi.

Matokeo ya kura hiyo ya maoni ya kupima kazi inayofanywa na Magufuli mpaka muda huu napoandika hii post ni kama ifutavyo:

Si nzuri kabisa-46%

Si nzuri-19%

Nzuri-17%

Ni nzuri sana-17%

Kura bado zinaendekea kupigwa na mpaka sas watu waliopiga kura ni 315 na zimebaki siku 5 upigaji kura kufungwa.

Search RaiaMwema Limited twitter kuona matokeo zaidi na pia kupiga kura yako ukipenda.
Hizo questionnaire kiboko, hawana wataalamu wa kuanda questionnaire (variable) nzuri sasa hapo analysis utafanyeje ili usipata unbiased result.
 
Kwenye uchumi its a total failure.......nadhani ccm hawamjui mtu mwenye njaa,watanzania wanalia njaa lakini majibu wanayopewa ni ya kejeli,kwamba waliokuwa wapiga dili,ccm hawajatambua kwamba mtu mwenye njaa akili yake ni kama ya kichaa.

Naifananisha Kejeli hii na ile ya mfalme wa ufaransa wa enzi hizo kabla ya mapinduzi ya ufaransa,wakati wafaransa wanalia njaa kutokana na mkate kutopatikana(kwa Tanzania usiseme mkate,sema ukata wa kutengeneza), mkewe akahoji akisema "kama mkate hakuna,mbona keki ni nyingi tu,waambie wale keki"

Sasa hivi watanzania wanalia bei ya sembe,wanalia ukata mkali,lakini majibu wanayopewa "sitoi chakula" "mlikuwa wapiga dili"

Kazi ya serikali ni kusikiliza na kutatua kero,kauli za jumlajumla si ufumbuzi wa kero zetu,bila kutatua uchumi,hata ulete ndege mia na ujenge reli mpaka kwenye kanisa la lusekelo,mwenye njaa hatayaona,atapigania maisha yake kwanza.

Swali kubwa ni kwamba,hawa watanzania wanaolia njaa na maisha magumu,wanafikiria nini kichwani mwao?hawa watanzania wanaolaza familia zao njaa,wanafikiria nini vichwani mwao? Hawa watanzania wanaoshuhudia watoto wao wadogo wakilia usiku kutokana na kutoshiba,wanafikiria nini vichwani mwao?hawa wawekezaji ambao mitaji yao wanaiona ikifa mbele ya macho yao,wanafikiria nini vichwani mwao? Hawa wafanyakazi wenye familia wanaotoka ofisini na barua ya kupunguzwa kazini,na wa nasikia wanasiasa wakitamba kwamba "atakayemaliza mwaka huu bado anaishi Dar ea salaam ni mwanaume" wanawaelewaje?

Ni wakati sasa serikali ikatoa majibu
 
Waandishi wa habari waandike sana,kwa sababu uchumi ukiwa mgumu,kutoa elfu moja Kununua gazeti ni ishu,mwananchi ataona bora anunue matembele,waandishi wasidhani hali hii haitishii ajira zao,maisha yao,woga wao ndio umasikini wao,

Kuna siku mabosi wao watazifunga kampuni kwa kukosa faida
 
Haya matokeo yanaendana kabisana trend ya kuanguka kwa CMM tangu 2005, kura za ccm zinapungua kwa wastani wa asilimia 20 tangu 2005. Katika uchaguzi wa 2015, ccm ilishinda kwa 56%, ukitoa 20% (percentage point) hii mana yake 2020, CCM itapata kura kati ya 30% na 40%. Matokeo haya yanaonyesha ccm inapita humo humo. Ima wajiandae kuirudisha nchi Dar, au wageuke akina Kabila, lakini sioni dalili za CCM kushinda 2020.
Watanzania ni watu very special, wepesi wa kukasirika, wepesi wa kusamehe na wepesi wa kusahau, hivyo pamoja na hasira zote hizi za sasa dhidi ya huyu dereva wetu kwa jinsi anavyo liendesha hili lori letu kwa kutupeleka puta kwa mwendo kasi na mzobe mzobe kwenye hizi barabara zenye mashimo hivyo abiria kurushwa rushwa kama mnarushwa kichura chura, na kupiga makelele na kwenye kona hupinda kona kwa moto ule ule hivyo abiria wasiojishika vizuri kujikuja wakianguka mara kwa mara, tukiisha karibia mjini (2020), tutakutana na mabarabara ya lami tupu hakuna tena kurushwa rushwa kwenye mashimo, tutakutana na mabarabara ya juu kwa juu hakuna tena kuangushwa kwenye kona kona, kufikia kituo cha mwisho tutapokelewa kwa T-shirt na kofia na pilau ya siku moja, abiria hawa watasahau taabu zote za safari na hasira zao zote zitayeyuka hivyo watashuka huku wakiimba na wakishangilia kwa shangwe hoi hoi na vigelegele huku kila mtu akiimba "Nambari One Eee, Nambari One ni. ..".

Watasahau yote na sio tuu kumsifu dereva bingwa kuwafikisha salama bali pia watampa ushindi wa kishindo cha asilimia 95%!.

Hawa ndio Watanzania ninao wafahamu mimi!.

Paskali
 
Aliyeanzisha iyo poll yupo matatani. Itafungwa kabla ya siku izo tano nawahakikishieni.

You r not free as such.
 
Watanzania ni watu very special, wepesi wa kukasirika, wepesi wa kusamehe na wepesi wa kusahau, hivyo pamoja na hasira zote hizi za sasa dhidi ya huyu dereva wetu kwa jinsi anavyo liendesha hili lori letu kwa mwendo kasi na mzobe mzobe kwenye hizi barabara zenye mashimo hivyo abiria kurushwa rushwa na kupiga makelele na kwenye kona hupinda kona kwa moto ule ule hivyo abiria wasiojishika vizuri kujikuja wakianguka mara kwa mara, tukiisha karibia mjini (2020), tutakutana na mabarabara ya lami tupu hakuna tena kurushwa rushwa kwenye mashimo, tutakutana na mabarabara ya juu kwa juu hakuna tena kuangushwa kwenye kona kona, kufikia kituo cha mwisho tutapokelewa kwa T-shirt na kofia na pilau ya siku moja, abiria hawa watasahau taabu zote za safari na hasira zao zote zitayeyuka hivyo watashuka huku wakiimba na wakishangilia kwa shangwe hoi hoi na vigelegele huku kila mtu akiimba "Nambari One Eee, Nambari One ni. ..".

Watasahau yote na sio tuu kumsifu dereva bingwa kuwafikisha salama bali pia watampa ushindi wa kishindo cha asilimia 95%!.

Hawa ndio Watanzania ninao wafahamu mimi!.

Paskali

2020 tukutane stand
 
Watanzania ni watu very special, wepesi wa kukasirika, wepesi wa kusamehe na wepesi wa kusamehe na wepesi wa kusahau, hivyo pamoja na hasira zote hizi za sasa dhidi ya huyu dereva wetu kwa jinsi anavyo liendesha hili lori letu kwa mwendo kasi na mzobe mzobe kwenye hizi barabara zenye mashimo hivyo abiria kurushwa rushwa na kupiga makelele na kwenye kona hupinda kona kwa moto ule ule hivyo abiria wasiojishika vizuri kujikuja wakianguka mara kwa mara, tukiisha karibia mjini (2020), tutakutana na mabarabara ya lami tupu hakuna tena kurushwa rushwa kwenye mashimo, tutakutana na mabarabara ya juu kwa juu hakuna tena kuangushwa kwenye kona kona, kufikia kituo cha mwisho tutapokelewa kwa T-shirt na kofia na pilau ya siku moja, abiria hawa watasahau taabu zote za safari na hasira zao zote zitayeyuka hivyo watashuka huku wakiimba na wakishangilia kwa shangwe hoi hoi na vigelegele huku kila mtu akiimba "Nambari One Eee, Nambari One ni. ..".

Watasahau yote na sio tuu kumsifu dereva bingwa kuwafikisha salama bali pia watampa ushindi wa kishindo cha asilimia 95%!.

Hawa ndio Watanzania ninao wafahamu mimi!.

Paskali
Ndugu Paskali, kwanza mi nakuthibitishia pasipo shaka kura yangu nilimpigia magufuli. Lakini sitampigia hata kwa vipi japo mi si mpiga dili kwahiyo yanayoendelea huko bongo sina habari nayo. Ofkoz, kwanza sikumjua vema lakini kubwa kuliko yote ni makosa ya kiufundi yanayofanywa na hiki chama kikubwa cha upinzani Chadema. Chadema ni moja ya chama cha hovyo sana huenda kuliko ccm. Tatizo kubwa la ccm ni bahati mbaya wanayoipata wakati wa kuchagua mgombea wao (nadhani unakumbuka ya 2005). Kosa la 2005 kama lilivyo limejirudia 2015. Wao Chadema wana bahati ya kuwa na wagombea "perfect" lakini chama sicho. Angalia kosa la kijinga walilofanya kwenye uteuzi wa EALA. Kweli kabisa chama chenye muono kitachagua mbunge wa Ilemela na Nyamagana?????ndio wawe wawikilishi wa Tanzania kwenye EALA?? Sikwambii makosa ya kitoto ya kushindwa kuiteka Tanzania yote.

Sasa tuje kwenye muhishimiwa wetu. Kikwete ni rais ambayo alifanya mambo mengi sana yanayogusa jamii za watu mikoani (na hiki ndicho kilichompa 56% magu). Ukitaka kujua Kikwete ni mtu wa aina gani, na vipi dereva wetu wa lori alipata popularity aliyopata, tembelea website ya TANROADS kisha angalia miradi ya barabara na madaraja iliyotekelezwa katika awamu ya Kikwete, nakuthibitishia utabadili msimamo wa kuona kuwa dereva wa lori kama ataweza kutekeleza hata kwa 25% ya road network iliyofanywa na JK. Halafu angalia miradi inayotarajiwa kutekelezwa since 2016. Kumbe kupewa hela ya kununua mkate kuna tofauti kubwa ya kutafuta hela ununue mkate ndugu. Sikwambii hasira walizonazo wakulima juu ya ruzuku za pembejeo.

Barabara hizi zilimpa popularity sana magu. Wapo walioamini kama alifanya hivi akiwa waziri, je itakuwaje akiwa Rais. Sasa hali tofauti. Magu ana miradi minne mpaka sasa. Ubungo, Mwanza, Reli na Barabara ya Morocco. Tazara ni ya JK kwa 100%. Hii miradi kimsingi yote ipo Dar, mikoani huko watu wanakufa njaa. Disbursements katika halmashauri ndio usiseme.

Enzi ya JK, mgawo wa fedha kwenda katika halmashauri ulikuwa ukitolewa hadi magazetini, ili wananchi wajue na wafuatilie(Ofkoz watanzania hawanaga hilo). Sina hakika kama hizo disbursements zinaendelea kuchapishwa magazetini.

Hii ngoma ya Dodoma usidhani imeisha hii. Hii ngoma itaisumbua sana serikali. Watumishi wengi waliamini mgombea huyu ni "mkweli" tena "mpenzi" wa Mungu. Majibu wanayo wenyewe, mi sijui ya huko. Usidhani la Nape limeisha kaka, watu wa kusini wako tofauti, utaona maajabu 2020. Halafu linafayika kosa la kiufundi la kuidhoofisha CUF. Hiyo itaisadia SMZ lakini kwa huku kwetu ni hasara kwa ccm.

Kuna njia 2 tu za kushinda ccm 2020, Chadema dhaifu au "maradona" lakini si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom