POLL: Watanzania wangapi wameendelea kufuatilia bunge baada ya UKAWA kususia?

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Kwa kuwa kumekuwepo na mitazamo tofauti baada ya Ukawa kususia bunge kutokana na kulalamikia kile kinachoitwa ubabe wa naibu spika, na kwa kuwa hili ndo jukwaa linaongoza kwa mijadala ya kisiasa nchini. Hebu tupime maoni ya watanzania kuhusu hili.
Utajaza kama ifuatavyo:-

A: Sifuatilii kabisa

B: Nafuatilia sana

C: Nafuatilia mara chache

Mwisho wa kura hii ni Jumapili 26/06/2016 Saa 4 Usiku
 
Kwa kuwa kumekuwepo na mitazamo tofauti baada ya Ukawa kususia bunge kutokana na kulalamikia kile kinachoitwa ubabe wa naibu spika, na kwa kuwa hili ndo jukwaa linaongoza kwa mijadala ya kisiasa nchini. Hebu tupime maoni ya watanzania kuhusu hili.
Utajaza kama ifuatavyo:-

A: Sifuatilii kabisa

B: Nafuatilia sana

C: Nafuatilia mara chache
A
 
Kwani baada ya Bunge kuwa gizani kuna watu walikuwa na access? Anyway mimi baada ya kufanya kama kikao cha ...... Niliacha kufuatilia
 
Back
Top Bottom