Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
hivi ndio maana tuliambiwa kuwa mwisho wa kuunga juhudi ni November 15 kumbe kulikuwa na sababu za kimkakati eti eeh
.Nadhani wanaotaka kumpinga mkulu watafute chama kingine. Kwa namna ya nguvu kubwa inavyotumika kuzuia upinzani wa ndani ya nyumba ni bora wakajitoa.
Ccm wamelianzisha mapema ili ku "minimize risk" kabla ya tarehe za lala salama.