Polisi yazuia kongamano la chama cha kisiasa chenye asili kutoka bara arab..

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Hizb ut-Tahrir Tanzania kwa masikitiko makubwa inapenda kuwaarifu waalikwa wote katika Kongamano la Kukaribisha Ramadhani lililokuwa lifanyike kesho Jumamosi tarehe 20 Mei 2017, Hoteli ya Mayfair Mikocheni, Dar es Salaam kwamba kongamano hilo limezuiwa na serikali.

Polisi bila ya hoja wametoa waraka ulioandikwa leo tarehe 19 Mei 2017 na tumepokea nakala yake usiku huu wakidai kuwa kongamano hilo ni kikao cha siri chenye viashiria vya kutokuwa na malengo mazuri katika jamii.

Tunauliza kikao cha siri kitafanywa katika ukumbi wa hoteli unaochukuwa zaidi ya idadi ya watu 450 ? Au kikao cha siri kitaalikwa watu mbali mbali wakiwemo masheikh, maimamu, wasomi, wanasiasa, wanahabari , wanasheria, wanaharakati, wanamichezo nk ? Na zaidi kikao cha siri hutangazwa katika tovuti na ndani ya mitandao ya jamii wazi wazi?

Tunachukuwa fursa hii kuwashukuru wale wote waliopokea mwaliko wetu na pia kuwaomba radhi kwa usumbufu nje ya uwezo wetu. Ukipata ujumbe huu mfikishie mwenzako.

19 Mei 2017
Masoud Msellem
Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari
Hizb ut-Tahrir Tanzania.
polisi.jpg
 
Hizb ut-Tahrir maana yake ni nini?
Hizb ut-Tahrir ni chama cha kisiasa cha Kiislam kilichopo duniani kote tangu kilipoanzishwa mwaka 1953 chini ya uongozi wa muanzilishi, mwanachuoni (Alim), mwenye kufikiria, mwanasiasa na aliye kuwa hakimu katika mahkama ya Al-Quds (jerusalem) Mujtahid sheikh Taqiuddin an-Nabhani.

Katika nchi za kiisilam, Hizb ut-Tahrir inafanya shughuli zake katika ngazi mbalimbali za jamii ili kuwarejasha katika mfumo wa maisha wa kiisilam chini ya kivuli cha uongozi wa Khilafah.

Katika nchi za Magharibi, Hizb ut-Tahrir inafanya kazi ya kuwalingania jamii ya Waisilam ili waishi kwa kufuata sheria za Kiisilam, kifikra na kivitendo na kuhifadhi utambulisho wao wa Uisilam. Hizb ut-Tahrir pia inafanya kazi na jamii ya Waisilam waliopo magharibi kwa kuwakumbusha juu ya kulingania wito huu wa kurudishwa kwa uongozi wa Kiisilam (Khilafah) na uunganishaji wa umma wa Kiisilam duniani. Chama kinafanya kazi ya kujenga ufahmu mzuri wa Uisilam kwa jamii ya magharibi kwa kujadiliana na wanazuoni, wanasiasa, wasomi na watunga sera nchi hizo.
 
  • Hii ni taasisi ya dini au nini, mbona sielewi?
  • Kama ni taasisi ya dini kwa nini ijuhusishe na siasa?
  • Kwa sheria zetu Tanzania taasisi ya dini hairuhusiwi kujihusisha na maswala ya kisiasa
  • Vilevile vyama vya kisiasa haviruhusiwi kujifunganisha na dini
 
Hizb ut-Tahrir ni chama cha kisiasa cha Kiislam kilichopo duniani kote tangu kilipoanzishwa mwaka 1953 chini ya uongozi wa muanzilishi, mwanachuoni (Alim), mwenye kufikiria, mwanasiasa na aliye kuwa hakimu katika mahkama ya Al-Quds (jerusalem) Mujtahid sheikh Taqiuddin an-Nabhani.

Katika nchi za kiisilam, Hizb ut-Tahrir inafanya shughuli zake katika ngazi mbalimbali za jamii ili kuwarejasha katika mfumo wa maisha wa kiisilam chini ya kivuli cha uongozi wa Khilafah.

Katika nchi za Magharibi, Hizb ut-Tahrir inafanya kazi ya kuwalingania jamii ya Waisilam ili waishi kwa kufuata sheria za Kiisilam, kifikra na kivitendo na kuhifadhi utambulisho wao wa Uisilam. Hizb ut-Tahrir pia inafanya kazi na jamii ya Waisilam waliopo magharibi kwa kuwakumbusha juu ya kulingania wito huu wa kurudishwa kwa uongozi wa Kiisilam (Khilafah) na uunganishaji wa umma wa Kiisilam duniani. Chama kinafanya kazi ya kujenga ufahmu mzuri wa Uisilam kwa jamii ya magharibi kwa kujadiliana na wanazuoni, wanasiasa, wasomi na watunga sera nchi hizo.
Sasa maana yake ni kuwa ina lengo la kuunda khilafa,while nchi ina dini zaidi ya moja!..hv ni nchi ngapi duniani zina khilafa
 
Hizb ut-Tahrir ni chama cha kisiasa cha Kiislam kilichopo duniani kote tangu kilipoanzishwa mwaka 1953 chini ya uongozi wa muanzilishi, mwanachuoni (Alim), mwenye kufikiria, mwanasiasa na aliye kuwa hakimu katika mahkama ya Al-Quds (jerusalem) Mujtahid sheikh Taqiuddin an-Nabhani.

Katika nchi za kiisilam, Hizb ut-Tahrir inafanya shughuli zake katika ngazi mbalimbali za jamii ili kuwarejasha katika mfumo wa maisha wa kiisilam chini ya kivuli cha uongozi wa Khilafah.

Katika nchi za Magharibi, Hizb ut-Tahrir inafanya kazi ya kuwalingania jamii ya Waisilam ili waishi kwa kufuata sheria za Kiisilam, kifikra na kivitendo na kuhifadhi utambulisho wao wa Uisilam. Hizb ut-Tahrir pia inafanya kazi na jamii ya Waisilam waliopo magharibi kwa kuwakumbusha juu ya kulingania wito huu wa kurudishwa kwa uongozi wa Kiisilam (Khilafah) na uunganishaji wa umma wa Kiisilam duniani. Chama kinafanya kazi ya kujenga ufahmu mzuri wa Uisilam kwa jamii ya magharibi kwa kujadiliana na wanazuoni, wanasiasa, wasomi na watunga sera nchi hizo.
Duh! sasa kama lengo lao ni hilo kwanini wasiombe kufanyia Zanzibar.
 
Yaani Chama cha siasa cha kiISLAM sawa na Muslim Brotherhood?. Kama Ni hivyo basi Ni cha kidini. Na kinapaswa kutojihusisha na SIASA TZ. Labda shufhuli za kidini kama mihadhara ...makongamano ya kidini n.k. Siasa Noooo.
 
  • Vyama vya siasa vya kidini chini mwetu hatuvitaki
  • Na taasisi za dini zinazo jihusisha na siasa nazo hatuzitaki
  • Mamlaka husika; RITA, Wizara ya Sheria na Katiba, Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa hebu fuatilieni hili
 
Hizb ut-Tahrir ni chama cha kisiasa cha Kiislam kilichopo duniani kote tangu kilipoanzishwa mwaka 1953 chini ya uongozi wa muanzilishi, mwanachuoni (Alim), mwenye kufikiria, mwanasiasa na aliye kuwa hakimu katika mahkama ya Al-Quds (jerusalem) Mujtahid sheikh Taqiuddin an-Nabhani.
...
... Duh! ... chama cha KISIASA cha KIISLAM, kwa maneno hayo machache polisi wako sahihi kupiga marufuku. Chama chenyewe cha kisiasa halafu cha kidini; mambo hayo wapi na wapi Tanzania? Tuondoleeni Boko Haram na Muslim Brotherhood hapa tafadhali!
 
Hizb ut-Tahrir Tanzania kwa masikitiko makubwa inapenda kuwaarifu waalikwa wote katika Kongamano la Kukaribisha Ramadhani lililokuwa lifanyike kesho Jumamosi tarehe 20 Mei 2017, Hoteli ya Mayfair Mikocheni, Dar es Salaam kwamba kongamano hilo limezuiwa na serikali.

Polisi bila ya hoja wametoa waraka ulioandikwa leo tarehe 19 Mei 2017 na tumepokea nakala yake usiku huu wakidai kuwa kongamano hilo ni kikao cha siri chenye viashiria vya kutokuwa na malengo mazuri katika jamii.

Tunauliza kikao cha siri kitafanywa katika ukumbi wa hoteli unaochukuwa zaidi ya idadi ya watu 450 ? Au kikao cha siri kitaalikwa watu mbali mbali wakiwemo masheikh, maimamu, wasomi, wanasiasa, wanahabari , wanasheria, wanaharakati, wanamichezo nk ? Na zaidi kikao cha siri hutangazwa katika tovuti na ndani ya mitandao ya jamii wazi wazi?

Tunachukuwa fursa hii kuwashukuru wale wote waliopokea mwaliko wetu na pia kuwaomba radhi kwa usumbufu nje ya uwezo wetu. Ukipata ujumbe huu mfikishie mwenzako.

19 Mei 2017
Masoud Msellem
Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari
Hizb ut-Tahrir Tanzania.
View attachment 512200
Mlitoa taarifa mamlaka husika kuhusu kikao chenu?

Jaribu kufika kwa RPC kupata ufafanuzi na mkaelezea nia yenu na maandalizi ya kikao chenu..

Sisi ni watoa maoni tu hatuwezi kuwapa kibali cha kikao chenu. Hivyo badala ya kukimbilia mitandaoni angalieni namna ya kulitatua tatizo lenu huko huko polisi
 
Hizb ut-Tahrir ni chama cha kisiasa cha Kiislam kilichopo duniani kote tangu kilipoanzishwa mwaka 1953 chini ya uongozi wa muanzilishi, mwanachuoni (Alim), mwenye kufikiria, mwanasiasa na aliye kuwa hakimu katika mahkama ya Al-Quds (jerusalem) Mujtahid sheikh Taqiuddin an-Nabhani.

Katika nchi za kiisilam, Hizb ut-Tahrir inafanya shughuli zake katika ngazi mbalimbali za jamii ili kuwarejasha katika mfumo wa maisha wa kiisilam chini ya kivuli cha uongozi wa Khilafah.

Katika nchi za Magharibi, Hizb ut-Tahrir inafanya kazi ya kuwalingania jamii ya Waisilam ili waishi kwa kufuata sheria za Kiisilam, kifikra na kivitendo na kuhifadhi utambulisho wao wa Uisilam. Hizb ut-Tahrir pia inafanya kazi na jamii ya Waisilam waliopo magharibi kwa kuwakumbusha juu ya kulingania wito huu wa kurudishwa kwa uongozi wa Kiisilam (Khilafah) na uunganishaji wa umma wa Kiisilam duniani. Chama kinafanya kazi ya kujenga ufahmu mzuri wa Uisilam kwa jamii ya magharibi kwa kujadiliana na wanazuoni, wanasiasa, wasomi na watunga sera nchi hizo.
Tanzania vyama vya siasa vinasajiliwa na msajili ..hiki chama chenu kimesajiliwa?
 
Back
Top Bottom