Polisi Yazuia Dhamana ya Eddy Riyami

Akiweka hiyo audio atakuwa naye ameshiriki kueneza matusi hayo. Sheria ya mtandao utamkodolea macho.
 
mambo ya ajabu sana nchi hii ipo cku.

ahakama yake iko Yanganyika, na ataanzia kisutu, Vuteni subira ICC ya wazanzibari[/QUOTE]
 
Tunamwandalia shitaka la ugaidi vuteni subira kidogo
Who are you ???????????????
Vidampa walamba viatu na wafunga kamba za viatu wa Lumumba eti na nyinyi mnajidai na kujiona level Moja na Ma Bwana zenu
 
Back
Top Bottom