Polisi Yazuia Dhamana ya Eddy Riyami

Polisi Yazuia Dhamana ya Eddy Riyami

mambo ya uchaguzi africa yapigwe marufuku mpaka tukiwa tayari
 
Akiweka hiyo audio atakuwa naye ameshiriki kueneza matusi hayo. Sheria ya mtandao utamkodolea macho.
 
ccm ni waoga sana ! kama kweli anatuhumiwa kutukana , dhamana kwa ajili ya matusi tu nayo inakataliwa ?
Hii Nchi ishakuwa ya kujihami.........badala ya kufikiria maendeleo wao wanawaza jinsi gani wataendelea kubaki madarakani.
 
CUF kila siku kulalamika maneno hayatawasadia kitu igeni NIGERIA,somalia
 
mambo ya ajabu sana nchi hii ipo cku.

ahakama yake iko Yanganyika, na ataanzia kisutu, Vuteni subira ICC ya wazanzibari[/QUOTE]
 
Tunamwandalia shitaka la ugaidi vuteni subira kidogo
Who are you ???????????????
Vidampa walamba viatu na wafunga kamba za viatu wa Lumumba eti na nyinyi mnajidai na kujiona level Moja na Ma Bwana zenu
 
Back
Top Bottom