Polisi yawagomea Lowassa, Sumaye, Mbowe Mwanza

Polisi yawagomea Lowassa, Sumaye, Mbowe Mwanza

CHADEMA mnapenda ligi za kipuuzi. Hivi kwanini msiache familia ya marehemu impumzishe mpendwa wao!? Yani hii mijitu sijui ni mishetani!

Mmemwua kwa siasa zenu za kiadui washenzi wakubwa nyie ipo cku kibao kitawageukia.hakuna utawala ambao hauna mwisho.kwa uchungu na hasira nasema ccm mwisho wenu upo near the corner
 
Huku tuendako itafikia hatua tutakuwa kama Islael na Parestina yaani sisi tukifanikiwa kumpoteza mwanaCCM mmoja tutajiona tunaenda peponi kabisa kwa jinsi majitu haya yanavyotunyanyasa ndani ya nchi yetu tuliyozaliwa.
 
Safi sana polisi, wasiwaruhusu kabisa maana chadema ni wanafiki. Inakuwaje wasema polisi ndiyo wauaji? Kauli kama hizi ndiyo zinaongeza migawanyiko.
 
Mmemwua kwa siasa zenu za kiadui washenzi wakubwa nyie ipo cku kibao kitawageukia.hakuna utawala ambao hauna mwisho.kwa uchungu na hasira nasema ccm mwisho wenu upo near the corner

"Mtasubiri saaana na bado,wapinzani mtasubiri saana na bado"!
 
Huku tuendako itafikia hatua tutakuwa kama Islael na Parestina yaani sisi tukifanikiwa kumpoteza mwanaCCM mmoja tutajiona tunaenda peponi kabisa kwa jinsi majitu haya yanavyotunyanyasa ndani ya nchi yetu tuliyozaliwa.

Islael=Israel.
 
Hujui usemacho mpaka siku ukiona unaonewa au ndugu yako anaonewa.Kwa timamu zako kuna mtu anazuiliwa kuaga mwili au kuomboleza...labda nikwambie "fill the blanks....taja hali/vitu ambavyo husababisha mikusanyiko ya watui)........ii)..........jaza basi.We know the the so called RC na ubabe wake bt kama kila mtu ana dini basi tumwachie Mungu.Wako wap kina Saadam....

Kwanza niungane na watanzania wote wapenda Amani kumuombea marehemu mawazo mungu amtangulie na kumlaza mahali pema peponi.

Na pia nalaani kwa nguvu zote mauaji ya Aina hii iwe kwa wanasiasa au kwa binadamu mwezetu yeyote, kwani ni haki ya kila binadamu kuishi duniani hadi mungu atakapoamua juu ya mauti yake.
Na ni hakika kila nafsi itaonja mauti hapa duniani.

My take :
Tatizo ninaloliona hapa ni jinsi ambavyo chadema na UKAWA Kwa pamoja wanapotaka kuugeuza msiba huu kama mtaji au turufu ya kisiasa.

Taifa letu ndio Kwanza tumemaliza zoezi la uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge..
Kuna makovu mengi na vidonda, kila sehemu ya nchi hii kisiasa (kwa walioshindwa na walioshinda) .
Rais bado hajateua hata baraza la mawaziri, kwa maana kwamba bado tuko katika kipindi cha mpito kuelekea uundaji wa serikali mpya chini ya Rais mteule mh. Dk JPM.

. Wakati Hali iko hivyo chadema kwa makusudi mnalazimisha kukusanya umati mkubwa wa watu, kwa kisingizio cha msiba huu, ilhali kila mtanzania anatambua jinsi mbowe na lowassa mlivyo na machungu ya kushindwa uchaguzi huu, mliotarajia kuingia ikulu ya magogoni kwa matarajio makubwa Bila mafanikio.

Juu ya Hilo pia kuyakosa na kuyapoteza majimbo ya nyamagana na ilemela imekuwa kama kumwagia kidonda kibichi chumvi.

Wakati haya yoote yakijiri bado ndani ya chadema kuna fukuto na malalamiko ambayo yametishia uhai wa BAWACHA kutokana na zoezi la uteuzi wa viti maalumu vya ubunge, kufanyika kwa upendeleo na sio siri kwamba uongozi wa cdm makao makuu bado unakwepa kuwaeleza wanachama wenu kuhusu malalamiko haya..

Kwa sababu watanzania tunaishi kwa matukio (sio wote) UKAWA na chadema mnataka kutumia msiba wa marehemu kamanda Mawazo kama nafasi ya kuusahaulisha umma juu ya machungu ya uchaguzi hususan ufukwazwaji kinyemela wa waasisi muhimu wa hoja zenye mashiko ndani ya Chama na umma kwa ujumla kama Dr slaa na kujiaminisha kuwa lowassa alikuwa ndio kila kitu katika kuingia ikulu kwa short cut, almaarufu Gia ya angani.

Maswali muhimu kwa UKAWA :

Wakati mnataka kuukusanya umma kwa kisingizio cha kumuaga marehemu, tuna uhakika gani na Aina ya maneno yatayotolewa katika hotuba za viongozi wenu kitaifa, kwamba hayataweza kuibua hisia za mihemko ya kisiasa na kuelekea uvunjifu wa Amani pale mamlaka husika zitakapojaribu kuwaeleza kuwa mnatoka nje ya Mada husika?

Mfano Hai tulishuhudia kupitia vyombo vya Habari nchi nzima wafuasi wa cdm wakidiriki kumpiga askari aliyekuwa kazini, huko katika hospitali ya Bugando, na tulishuhudia uhamasishaji wa Lema, sembuse huko furahisha?

Je kama marehemu alifikwa na mauti huko geita, ambako pia ni kwao, kuna Tatizo gani shughuli hii yote isifanyikie huko?

Kama mnamheshimu na mlimpenda marehemu, ni kwa nini msiitendee haki Familia yake kwa kuupeleka mwili wake kwa wanandugu wakatoe heshima zao za mwisho kwa mpendwa mwendazake.?

Badala ya kutumia mwili huu kisiasa, ningewashauri mkaandaa mkutano maalum na siku maalum ya kuwashukuru wapiga kura wenu na wananchi kwa ujumla jijini mwanza. Na hapo ni rukhsa kuongea lolote ambalo mnalo na mngependa kuujulisha umma Bila kificho ilimradi hamvunji sheria kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu.


Nahitimisha kwa kulaani mauaji ya mtanzania mwenzetu na aliyekuwa hazina na Mfano wa kuigwa kwa wanasiasa wapenda democracy ya kweli nchini,
NI muhimu serikali ifanye uchunguzi wa kina na kuhakikisha waovu Hao wamefikishwa mbele ya sheria Ili haki itendeke na iwe fundisho kwa wengine wenye ufidhuli wa namna hii,

Hakika mawazo ametuacha kimwili lakini tutamuwaza daima.
Amen
 
Siasa hadi kwenye misiba! CHADEMA bwana ndo maana hata mlizuiwa kumzika KISUMO na mabodaboda yenu

Wewe ni poyoyo nini:what: anaeingiza siasa ni cdm au fisiem kupitia polisi:what: kipindupindu kinakujaje hapo:what: ingekuwa ni Ebola tungesema polisi wako sahihi but ingekuwa fisiem ndio wamefiwa wangefanya kama walivyopanga, usishabikie kitu bila kutafakari..!!
 
Hali hii ikiendelea nahc nitajiunga na kundi lolote la kigaidi tuje tuwatie adabu kidogo tu polisi mana sasa kero naongea kwa hasira kabisa
 
Mkuu..hivi hapa anayeleta siasa msibani ni nani kati ya polisi na chadema??

Chadema wendawazimu.Ndugu hawataki siasa wanataka mwili .sasa Hao chadema kwa nini wasiheshimu ndugu .Adui wa chadema ni chadema .Oh viongozi wa chadema sasa huyo lowassa na sumaye mbona vyeo vyao hayupo jui chadema
 
Chadema wendawazimu.Ndugu hawataki siasa wanataka mwili .sasa Hao chadema kwa nini wasiheshimu ndugu .Adui wa chadema ni chadema .Oh viongozi wa chadema sasa huyo lowassa na sumaye mbona vyeo vyao hayupo jui chadema

Jaribu kidogo kujivua hizo akili za kiccm ukishafanya hivyo soma tena ulichokiandika uone ni kwa kiasi gani umeandika upuuzi na uozo wa hali ya juu!
 
Chadema wendawazimu.Ndugu hawataki siasa wanataka mwili .sasa Hao chadema kwa nini wasiheshimu ndugu .Adui wa chadema ni chadema .Oh viongozi wa chadema sasa huyo lowassa na sumaye mbona vyeo vyao hayupo jui chadema

Kama Chadema ni wendawazimu basi CCM wooooooooote ni MATAAHIRA.
 
Police ya Tanzania kuna shida sana ..eti kipindupindu sababu yao wala sio za msingi hata kidogo na haina tija

Watuache tumzike Kamanda wetu kwa amani ...Kwani tendo alilofanyiwa Mawazo sio la kibinadamu na linatakiwa kukemewa kwa nguvu zote
 
hapa kuna watu wanakwenda kupata aibu,familia itachukua mwili na utaenda moja kwa moja geita,hakuna mwanafamilia atavumilia mwili wa ndugu yake uendelee kuharibika,ili tu wanasiasa wapate kumtumia

Naona kama umelewa ..hiyo Avatar yako na maneno yako vinafanana ....
 
Kwa nini Police na CCM wanaogopa kutoa ruhusa kuuaga mwili wa Marehemu mwanza ?

Think Big ...
 
Back
Top Bottom