Polisi wetu wana roho mbaya

Kuna bosi wao aliwahi kufafanua kuwa huwezi kumchukua Div 1 ukampanga lindo la usiku (wakati mwingine kuna mvua na mbu). Ndo maana inabidi wachukue hao wasio na options zingine

Duuh basi hatarii sana hii.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana, ko hakupita CCP? dharau hizi. Wee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ok.
ni marafiki wazuri mno kwa wenye ujeuri na kiburi hao jamaa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…