Polisi wetu wana roho mbaya

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,255
Reaction score
48,109

Picha aliyoisemq Tundu Lissu ni hii kwamba akiwa Tarime alipigwa na Polisi mpaka wakachana Kombati yake.

Hii Kombati ilivyo ngumu inakuwaje wanampiga mpaka kuichana?

Yawezekana walikuwa wanamgawana. Msomi na mtetezi wa rasilimali za nchi na mtu anayependa haki na usawa. Anafanyiwa hivi na Polisi form division 4 au zero kabisa.

Hii nchi inahitaji sana ukombozi kutoka kwenye makucha ya Ukoloni Mamboleo
 
Roho zao ndiyo roho za wanaccm
 
Hakika Wana roho mbaya wala sii siri
 
Sijawahi kuelewa kada ya ulinzi wanapenda kuchukuliwa zero n 4, ili hali zama hizi zinahitaji watu wenye weledi, ujuzi na maarifa.
Lol.
Shida ni kwamba brainless people are easier to control. Mfumo hautaki watu wenye weledi wanaoweza kuhoji illegal orders, wanataka majinga majinga ya kufuata amri tu.
 
Sijawahi kuelewa kada ya ulinzi wanapenda kuchukuliwa zero n 4, ili hali zama hizi zinahitaji watu wenye weledi, ujuzi na maarifa.
Lol.
Kuna bosi wao aliwahi kufafanua kuwa huwezi kumchukua Div 1 ukampanga lindo la usiku (wakati mwingine kuna mvua na mbu). Ndo maana inabidi wachukue hao wasio na options zingine
 
Kuna bosi wao aliwahi kufafanua kuwa huwezi kumchukua Div 1 ukampanga lindo la usiku (wakati mwingine kuna mvua na mbu). Ndo maana inabidi wachukue hao wasio na option
Nimecheka sana aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sema hizi ajira za upolisi ni za akabu sana yaani huwa wanaokotwa tu from no where.

Nakumbuka kuna siku mshikaji wangu aliitwa kituoni tena kikubwa kabisa cha Polisi kwenda pale tukakuta binti amevaa magwanda ya Polisi yaani kwa kumuangalia tu yule hajawahi hata kufanya course yoyote ya ulinzi hata JKT hajaenda yule.

Tumeemda mpaka kwa yule askari aliyempigia simu mshikaji ametuhoji kama saa moja na dk kadhaa, wakati tunaondoka pale mlangoni kile kibinti kikawa kinatuchekea ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tukakiomba nauli kikasema hela ipo kwenye account na hapa nina ATM card, nikakiambia nikushikie lindo ukatoe hela kikakubali eti ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ