Chadema imekufa
Utakufa wewe maana Edo anawapelekea moto mpaka Mwenyekiti Jk anachanganyikiwa na kutoa matamko kama ya Mwigulu.....
Vurugu za CCM kuendesha makambi ya utesaji kwa green guard wake Kikwete anazibariki sio aije akachomoka akasahau kuvaa viatu kuna mifano mingi kwa madikteta walivyodharilishwa na wananchi asijifanye yeye hayatamkutahoja ndio inachangiwa hivyo, mijitu inafanya vurugu unataka ichekewe tu? Tumia kichwa kufikiri mkuu
Unamaanisha kwamba CCM na policcm wanapambana na maiti?
viroba na gongo ndio sera za CCM wangewapatia wananchi maisha bora kwa kila mtanzania kama walivyojinadi wananchi wangekunywa fined wine na beerhadi muache hizo gongo na viroba zenu hapo ufipa
Woga waanza kuwaingia magamba,angalieni intelijensia maana mkuu wa nchi katoa agizo.
viroba na gongo ndio sera za CCM wangewapatia wananchi maisha bora kwa kila mtanzania kama walivyojinadi wananchi wangekunywa fined wine na beer
Kwa mwendo huu wa vikwazo tutafika kweli?
Kwa Miguu wangeshaua na kusema walikua watapinga maandamano yasiyokuwa na kibaliCDM muwe mnatembea kwa miguu kuondoa vikwazo visivya na lazima.
Ccm itaongoza nchi hii milele
yea, kwani ulikuwa hujui?
Wanajiamlia tu nunua waendesha boda boda kwa buku ten ten afu wanajikuta wanataka ushind,hahaha