HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 925
Tulitegemea ilindwe ki UVICCM kwani GREEN GURD wameenda study tour?Hivi sehemu ambayo yupo Rais wa nchi waziri mkuu, makamo wa Rais ulitegemea ilindwe kiukawa?
Tulitegemea ilindwe ki UVICCM kwani GREEN GURD wameenda study tour?Hivi sehemu ambayo yupo Rais wa nchi waziri mkuu, makamo wa Rais ulitegemea ilindwe kiukawa?
Kwa sababu hawapendwi na raia.wanalidwa na jeshi kwa nn
Tukitegemea polisi tutashindwa - kikwete .Majuzi Marekani tumeona Republican na Democratic wakifanya mikutano yao bila nagari ya deraya wala Makundi ya mbwa wapolisi. ANC,ZANU, nk nk hawajawahi kufanya mikutano wakiwa wamezingirwa na maelfu ya askari idadi kama ya wajumbe.
Nini kimepelekea ccm kuvunja rekodi hii ya dunia?
Ina maana Bavicha inaogopewa na watawala kiasi hicho hadi kufanya majeshi na vikosi vya usalama vihamie Dodoma?Umesahu kuwa BAVICHA waliapa kuzuia mkutano wa CCM
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .Labda itakuwa wanamlinda shein na Jecha si unajua kilichotokea zanzibar
ina maana wanahisi raia watawapopoa mawe?Kwa sababu hawapendwi na raia.
Ina maana Bavicha inaogopewa na watawala kiasi hicho hadi kufanya majeshi na vikosi vya usalama vihamie Dodoma?
Kama ni hivyo basi Bavicha ni kiboko na wanastahili kuheshimiwa na kupewa nishani ya ushujaa.....
dah kweli, c nishani2 wanatakiwa wapewe nchi kabisaIna maana Bavicha inaogopewa na watawala kiasi hicho hadi kufanya majeshi na vikosi vya usalama vihamie Dodoma?
Kama ni hivyo basi Bavicha ni kiboko na wanastahili kuheshimiwa na kupewa nishani ya ushujaa.....
watahangaika na wezi CCM na serikali yao wanasomeshwa na vijana ambao hawana hata fimbo wamekausha hazina kwa kupeleka majeshi polisi mikoa mitano wote wako huo mbwa farasi hao wanakula hewa ha ha nchi ya wagagagigigokoMbona hao BAVICHA hawajapeleka makalio yao Dodoma?.Polisi washindane na BAVICHA??? Unaota.Polisi hawawezi lala macho wakaacha nyumba zao na familia zao wakakesha kwa ajili ya BAVICHA.Unajua kile ambacho polisi humfanyia mtu ambaye anawakosesha usingizi wasilale ili wakishamfanyia hicho wanakuwa wana uhakika wa kulala majumbani bila shida? Unakijua? Kama hukijui kitafute kwa kuwasumbua polisi wasilale usingizi.Na kikikukuta kinakuwa cha kwako peke yako (personal to yourself)
Kama hawakijui BAVICHA waambie waendeleze bifu na Polisi.Polisi watashughulika na mmoja baada ya mwingine kwa wakati wao na huyo mmmoa mmoja atajua polisi ni nani kibinafsi
Majuzi Marekani tumeona Republican na Democratic wakifanya mikutano yao bila nagari ya deraya wala Makundi ya mbwa wapolisi. ANC,ZANU, nk nk hawajawahi kufanya mikutano wakiwa wamezingirwa na maelfu ya askari idadi kama ya wajumbe.
Nini kimepelekea ccm kuvunja rekodi hii ya dunia?
Tukitegemea polisi tutashindwa - kikwete .