Polisi waweka ulinzi mkali Dodoma

Polisi waweka ulinzi mkali Dodoma

Naona alitaka walindwee na hawa vibaka walinzi wa CHADEMA.Waangalie walinzi wa CHADEMA wakiwa wamevaa miwani yao ya kuchomea magrill ya chuma.Halafu angalia yule aliyekaa juu ya ukuta kujifanya mlinzi hata ukipuliza upepo tu anadondoka.Hawa ndio walinzi wa CHADEMA wacheck

Mbeya3.jpg
Nimecheka sana hii picha,kwa hiyo yule pale juu ya ukuta ndo nani kiulinzi/usalama?
 
Majuzi Marekani tumeona Republican na Democratic wakifanya mikutano yao bila na gari ya deraya wala Makundi ya mbwa wapolisi. ANC,ZANU, nk nk hawajawahi kufanya mikutano wakiwa wamezingirwa na maelfu ya askari idadi kama ya wajumbe.
Nini kimepelekea CCM kuvunja rekodi hii ya dunia?
Marekani wamestarabika sana.
Hapa kwetu panya road na vibaka wengi, lazima viongozi wetu walindwe kwa nguvu kubwa, wasije dhuriwa.
 
Hivi hakuna Bavicha alietia mguu kujaribu zali atupe mrejesho juu ya kile kilichomtokea?
 
Ina maana Bavicha inaogopewa na watawala kiasi hicho hadi kufanya majeshi na vikosi vya usalama vihamie Dodoma?

Kama ni hivyo basi Bavicha ni kiboko na wanastahili kuheshimiwa na kupewa nishani ya ushujaa.....
Tatizo sio Bavicha, bali wehu wanaoweza kutumia kivuli cha vurugu za nyumbu. Mbona ni jambo dogo sana? Kweli kwa akili za kawaida, askari watandw kuwazuia Bavicha? Bavicha ni nini?
 
Back
Top Bottom