Taarifa zinadokeza kwamba Bavicha ndio taasisi bora na imara zaidi ya vijana kwenye ukanda wa Maziwa Makuu , zipo tetesi pia kwamba inaongoza Africa lakini hili tunalichunguza zaidi , tuki confirm tutakuja hapahapa jukwaani kuwathibitishia .Ina maana Bavicha inaogopewa na watawala kiasi hicho hadi kufanya majeshi na vikosi vya usalama vihamie Dodoma?
Kama ni hivyo basi Bavicha ni kiboko na wanastahili kuheshimiwa na kupewa nishani ya ushujaa.....
Kumbe Bavicha wanatisha kiasi hicho,I was unawareUmesahu kuwa BAVICHA waliapa kuzuia mkutano wa CCM
Mkuu huwezi kugundua hiyo kuwa typo basi unahitaji maombi au Lunch iliambatana na maji makubwa ambayo madereva wa mabasi huwa wanayanywa kisha kutoa jasho jingi? hahahapamoja na kupata lunch nimeshindwa kukuelewa..
Kwa hiyo ule wimbo wa Tanzania ni nchi ya amani umesha kuwa ndotoLabda itakuwa wanamlinda shein na Jecha si unajua kilichotokea zanzibar
Bora hiyo kuliko kulinda ATM watu wanachukua hela we unapiga miayo ! Utata ni anayewalipa , ccm au Tanzania ?Nasikia kila askari analamba ten per day!
Hapo bila shaka ni serikali tu mkuu.Bora hiyo kuliko kulinda ATM watu wanachukua hela we unapiga miayo ! Utata ni anayewalipa , ccm au Tanzania ?
nadhani nawe unahitaji maombi kwa kuwa negative oriented....Mkuu huwezi kugundua hiyo kuwa typo basi unahitaji maombi au Lunch iliambatana na maji makubwa ambayo madereva wa mabasi huwa wanayanywa kisha kutoa jasho jingi? hahaha
Magari ya delayanadhani nawe unahitaji maombi kwa kuwa negative oriented....
mpaka muda huu mimi sijaelewa ''nagari ya deraya'',pengine kweli mi ''******''...
Pichisha ...labda utasomekaMajuzi Marekani tumeona Republican na Democratic wakifanya mikutano yao bila na gari ya deraya wala Makundi ya mbwa wapolisi. ANC,ZANU, nk nk hawajawahi kufanya mikutano wakiwa wamezingirwa na maelfu ya askari idadi kama ya wajumbe.
Nini kimepelekea CCM kuvunja rekodi hii ya dunia?
tatizo hawa ndugu wanawachukulia Watanzania for granted.Majuzi Marekani tumeona Republican na Democratic wakifanya mikutano yao bila nagari ya deraya wala Makundi ya mbwa wapolisi. ANC,ZANU, nk nk hawajawahi kufanya mikutano wakiwa wamezingirwa na maelfu ya askari idadi kama ya wajumbe.
Nini kimepelekea ccm kuvunja rekodi hii ya dunia?
Huko ndio kubana matumizi kweli ?Hapo bila shaka ni serikali tu mkuu.
Labda itakuwa wanamlinda shein na Jecha si unajua kilichotokea zanzibar

GURD:- GUARDTulitegemea ilindwe ki UVICCM kwani GREEN GURD wameenda study tour?