Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Jeshi la Polisi Dar es Salaam limechukua hatua ya kuwataka waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kutawanyika mara moja na kwa amani, baada ya kanisa hilo kuendesha ibada njee ya eneo la kanisa licha ya agizo rasmi la kusitishwa kwa shughuli zake.
Tukio hilo limetokea siku chache tu baada ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kutoa tamko rasmi la kufuta usajili wa kanisa hilo, likidai kwamba limekiuka Sheria ya Jumuiya ya Kiraia (Sura ya 337). Ilisema kuwa madai yake yalikua na mwelekeo wa kisiasa, na yangeweza kusababisha chuki kati ya umma na serikali. Kwa mantiki hiyo, usajili wake ulisitishwa, na shughuli zote za kidini zilipaswa kusitishwa mara moja.