Polisi wavamia wananchi, wajeruhi na kupora fedha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wavamia wananchi, wajeruhi na kupora fedha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Jun 19, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Polisi wilayani Monduli wamelalamikiwa kwa kuvamia watu mjini mto wa mbu, kupora fedha na kuwajeruhi watu kadhaa akiwemo mwanamke aliyekatwa vibaya pale walipokuwa wanamnyoa nywele kwa sime. source: ITV.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mimi nikisema tungie mitaani watu wananiona mzushi. Kilicho baki tuingie barabarani.
   
 3. e

  ebrah JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani na hapo tena Bi. kiroboto atatuzuia tukimuuliza yule jamaa aliyepinda kuhusu namna serikali inayouwa watu?
   
Loading...