Polisi waunga mkono peoples power | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waunga mkono peoples power

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lyceum, Jan 23, 2011.

 1. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  Wapendwa wana jf. Polisi nchini Tunisia wameungana na raia dhidi ya serikali ktk maandamano.
  Source: itv news.
  Imekaaje wanajamvi? Polisi wetu hawawezi pia?
  Peoplezz power
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Mwanzo wa ngoma ni lele!
   
 3. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Just a matter of time... Kama ni maisha magumu ni kwetu sote!!! Si polisi wa raia!!
   
 4. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  muda waje watajiunga nasi tu, hakuna anayeweza vumilia wazungu weusi
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  polisi hawa wa tanzania? wamesha ridhika na maisha yao sio magumu sio marahisi wala hawa hitaji kuongezewa mshahara au chochote! In short,they are fine
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,934
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  polisi wengi ni chadema.....ndo maana waliwatwanga virungu kwa maana kikulacho ki nguoni mwako
   
Loading...