Ukweli kuna wakati nashindwa kupata uhakika nani hatari zaidi kwa uhai wa raia hapa nchini kati ya Jambazi na Polisi wetu....
Kama kawaida yao nguvu nyingi akili kidogo.
Polisi wilayani Kaliua mkoani Tabora wamempiga risasi na kumuua raia mmoja aliekua miongoni mwa kundi la wananchi waliokua wanakabiliana na polisi hao.
Wananchi walikua wanawataka kuwaadhibu wezi wa mifugo waliokua mikononi mwa polisi.
Note-kama unajipenda kaa mbali na polisi ukirusha mchanga wanarusha risasi.

Polisi wanalinda jambazi wanaua. Na idadi kubwa ni waliouwawa na watu wanaojiita wana hasira kali. Kama sio polis leo wangeongeza idadiHatari zaidi ni Polisi wetu.
Piga hesabu mwaka 2013 raia wangapi wameuwawa na polisi na raia wangapi wameuwa na majambazi.
Kwa hyo ulitaka muue kisha mseme polisi wamesimamia mauaji? Kwa nini walipotaka kumwokoa nyie mkaamua kukabiliana na polisi? Pumb. Vu zenu
Watasema huyo mwananchi alikuwa na Silaha na alitishia usalama wa polisi.
Yaani raia mwenye jiwe anatishia usalama wa askari mwenye mguu wa kuku!
Mimi na wewe hatukuwepo, lkn melezo ya mleta mada yanaashiria principle hyo ilitumika. We mtu anadiriki kuandika "tunakabiliana na polisi". Mpaka kukabiliana tayari tayari wamepewa onyoTaratibu ndugu yangu! Ktk utendaji kazi police kuna kitu inaitwa use of minimum force, je ilitumika kabla ya kupiga risasi?
Kumbe jiwe haliuwi enhee? Wacheni kuharibu amani kwa kuendekeza ujingaWatasema huyo mwananchi alikuwa na Silaha na alitishia usalama wa polisi.
Yaani raia mwenye jiwe anatishia usalama wa askari mwenye mguu wa kuku!
Kwani polisi siyo binadam? Kama raia wangetii sheria bila shuliti hao askari wangewaua. Na kwa hali ya sasa na kwa wachozi wa aina yako hao askari wasingechukua hatua hiyo wangeuawa wao. Kwan silaha wanazokua nazo ni mapambo? Tii sheria bila shuruti.