Polisi watanda kwa Mo Dewji

Polisi watanda kwa Mo Dewji

Naye Mo kaona isiwe noma, kaamuwa kujifungia na kupiga tizi home tu! isije ikawa yale yale mwaya...🙂😀😎

Hivi kweli na kijifua kwote huku Bw. Mo alishindwa kabisa kuwapa vitasa vya Kisingida wale wahuni?!

Hajifui kwa ajili ya kujilinda bali anapunguza yale mapochopocho ya kutoka pale Jamat khana Upanga
 
Labda wanamtanda ili ashindwe kuita wandishi wa habari maana nasikia kuna kitu anataka kuzungumza anazuiliwa
 
Hapa utakuta jamaa hata passport kanyanganya na hatakiwi kutoka nje ya nchi. Huu ulinzi wanaosema ni wakumbana asiseme wala asiongee na vyombo vya habar kile kilichomkuta.
YAN TUNANEEMEKA KULIPA KODI ILA ZINATUMIKA KUTUNEENESHA PIA.
Una maana gani kwa hilo neno "TUNANEEMEKA"
 
Baada ya sakata la kutekwa kwa mfanyabishara maarufu nchini, Mohammed Dewji Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemuongezea ulinzi mfanyabiashara huyo
View attachment 910312
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa katika mahojiano yake na www.eatv.tv amesema kuwa wamemwongezea ulinzi mfanyabiashara huyo katika kipindi hiki ambacho bado wanaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio.

"Katika kipindi hiki ambacho bado tunaendelea na uchunguzi wa tukio la kutekwa kwake, tumemuongezea ulinzi", amesema Mambosasa.

Mo Dewji alitekwa Alfajiri ya Oktoba 11, katika hoteli ya Colosseum iliyopo Osterbay jijini Dar es salaam na kupatikana baada ya siku tisa katika maeneo ya Gymkhana alikotelekezwa na watekaji, huku pia wakitelekeza gari aina ya Toyota Surf walilolitumia likiwa na silaha kadhaa za moto.
SAWA.. ngoja tuone na kwa KAMANDA LISU atakapowasili kutoka ughaibuni.. kama mtamuwekea ulinzi au ndio mtalianzisha upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
hawataki aongee na int'l media, hapo police watakua wameambiwa no media kuingia
 
Hakuna kumlinda hapo, wanachofanya nikuzuia watu kwenda kumuhoji na kumtisha MO mwenyewe aendelee kywa kimya. Shut up MO.
 
Baada ya sakata la kutekwa kwa mfanyabishara maarufu nchini, Mohammed Dewji Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemuongezea ulinzi mfanyabiashara huyo
View attachment 910312
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa katika mahojiano yake na www.eatv.tv amesema kuwa wamemwongezea ulinzi mfanyabiashara huyo katika kipindi hiki ambacho bado wanaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio.

"Katika kipindi hiki ambacho bado tunaendelea na uchunguzi wa tukio la kutekwa kwake, tumemuongezea ulinzi", amesema Mambosasa.

Mo Dewji alitekwa Alfajiri ya Oktoba 11, katika hoteli ya Colosseum iliyopo Osterbay jijini Dar es salaam na kupatikana baada ya siku tisa katika maeneo ya Gymkhana alikotelekezwa na watekaji, huku pia wakitelekeza gari aina ya Toyota Surf walilolitumia likiwa na silaha kadhaa za moto.
mkuu JIWE je umiridhika na utendaji wa MAMBOZAMANII??? jee katika hii filamu iliyozinduliwa juzi ''MR. MO'' je amecheza vizur sehem yake?
SISITV imesaidia kiasi fulani😛😛😛🙄🙄
 
Ningelikuwa mamboleo ningelielekeza nguvu kwa matajiri wengine ambao bado hawajatekwa.
 
Hayo yamesemwa na Kamanda wa Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa .

Chanzo - Mwananchi
 
Back
Top Bottom