PreGE2025 Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Musachawenyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
274
Reaction score
508
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
 
Huenda wamejipanga kulinda mkusanyiko huo.
Kumbuka pia polisi wetu hawajazoea matukio kama haya, pengine wameanza kujua kwamba hata maandamano inapaswa wayalinde.
 
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Km ulikuwa na mpango wa kufanya uhalifu umekwama we bwege. Badala ufurahie ulinzi umeimarishwa unakuja kulalamika humu? Kenge kwl! Halafu we nyau huo upumbavu unaouwaza hautatokea kamwe
 
Natamani the Day Lissu ataingia ikulu atembeze calculator kwa mafisadi kama Jiwe alivyofanya kwa b'nessmans.

Wangekuja na wazee wa magwanda at least ingeleta uzito soon polisi watachokwa na wazalendo haita kua na matokeo Mazuri, Leo ni mwanzo/mwendelezo let's see mbio za sakafuni

No Reform No Election, Simple.
 
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Kazi ya Vyombo vya Dola ni kuhakikisha nchi ina amani na hicho ndicho vinachofanya. Ninyi kama mnahisi mna haki na mnaonewa pambaneni nao!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mkuu wameshajua wamechokwa wananchi wanahasira bila kujihami hivyoo ni sekunde kinanuka.
Dogo hakuna chama kitakuwa madarakani bila kulindwa na Vyombo vya Dola. Ni mtu mjinga anayeweza kuamini Serikali itakuwepo bila Vyombo vya Dola vya kuhakikisha peace and tranquility inakuwepo.
 
Natamani the Day Lissu ataingia ikulu atembeze calculator kwa mafisadi kama Jiwe alivyofanya kwa b'nessmans.

Wangekuja na wazee wa magwanda at least ingeleta uzito soon polisi watachokwa na wazalendo haita kua na matokeo Mazuri, Leo ni mwanzo/mwendelezo let's see mbio za sakafuni

No Reform No Election, Simple.
Lisu hawezi kukanyaga Ikulu hata siku moja.
Ccm haiwezi kutoka madarakani kwenye kizazi chetu hiki.
Bado sana
 
Back
Top Bottom