Hatimaye kisu kinakaribia kufika kwenye mfupa. Walipwe baada ya tarehe 12/11/2011 ili kisu kiwe kimefika mfupani. Wapi washawasha..Taratibu wataelewa kuwa sisi tunaolia daily na kupigwa virungu sio wajinga, tuna sababu za kufanya hivyo
CCM inakosea sana kuwatesa "mbwa" wake!Hata wasipopewa Sawa!
Aroo acha dharau,ririrotukuta sisi ritakukuta na wewe!kama wana hasira sana wajimwagie maji ya kuwasha
Matatizo kama haya siyo tu polisi yanaweza kutokea bali idara yoyote ile ambayo watumishi wake walikuwa wanapata kwenye payroll na kisha kuingizwa bank kwa sababu zifuatazo;Ndg zangu wanajf jana niliona polisi wanaponda utaratibu mpya wa kuingiza salary zao kupitia bank ya NMB. Eti wengine wamepata kitambo na wengine mpaka leo hakieleweki na kutrace kujua mshahara uko wapi eti ni ngumu. Walikuwa wamenuna kweli mpaka nikaogopa nikaondoka wasije kunipa kesi!
Mshikaji mjeda nini? Nitashangaa ukiruka kimanga wakati statement yako sehemu niliyo bold inajieleza!Acheni uzushi askari wote tushalipwa mishahara jamaa zangu askari wengi tumeshalipwa nyie cjui vp mbna mnazusha hivyo!!