Hiyo imeisha tayari! Ukiona wanakupiga danadana basi ujue hakuna kitakachoendelea.
Na kwa kuwa raia kwa nchi hii ni mnyonge ili Watawala waishi hakuna namna ni kukubali kufia shimoni kama panya!
Kwa kweli inasikitisha sana sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.