Polisi wanaswa na meno ya tembo

Polisi wanaswa na meno ya tembo

BY Mwananchi.co.tz 30,Julai,2013

Kisarawe: Watu Tisa wawili kati yao wakiwa polisi wa kituo cha Oysterbay. Dar es salaam wamekamatwa Wilayani Kisarawe , mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa wakisafirisha Meno 70 ya Tembo (kilo 305) kinyume na sheria. Meno hayo kwa hesabu ya Kawaida ni sawa na Tembo 35, wameuwawa! na Thamani yake ni Tsh 850 Milioni.
'' Mwisho wa Kunukuu''

NB: Habari hii kwanza inasikitisha sana. Sijui nchi inakokwenda na hawa ni wachache wanaoshikwa je ambao hawajashikwa?!!! Ukiangalia hesabu hiyo iliyowekwa na mwandhishi yaani Tembo 35 Kwa siku moja inatisha.
Kuna Tasmini moja niliwahi kusikia Clouds Radio kwamba Nchi ina wastani wa kama tembo 7,000 hivi. Sasa Tukichukua 7000 gawanya kwa 35 tunapata 200Days.
So kama tukisema kila siku tembo wauwawe kwa kiasi hicho hapo juu ina maana ndani ya siku 200 Tembo wote Tanzania watakuwa wameisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Inatishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Ooooh Mwalimu Nyerere Baba unaweza kufufuka hata uje ukae mwezi mmoja tu uwachape watu vile viboko vyako 12 kabla ya kwenda jela na 12 siku ya kutoka jelaaa?
 
WATU tisa wakiwamo askari polisi wawili wa Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam wametiwa mbaroni wakiwa na meno 70 ya tembo (sawa na tembo 35).

Kamanda Matei alifafanua kuwa meno hayo yana uzito wa kilo 305, yakiwa na thamani ya sh 850,500,000, huku akitoa wito kwa wananchi kuwafichua watu wanaojihusisha na vitendo vya ujangili ili wachukuliwe hatua bila kujali nyadhifa zao.

Wanasayansi wanasema kwamba urefu na uzito wa pembe za ndovu unapungua kila mwaka wa tembo wa Afrika

Hivi sasa pembe moja kilo 3 hadi 4 wakati zamani pembe moja ilikuwa hadi kilo 100!
 
BY Mwananchi.co.tz 30,Julai,2013

Kisarawe: Watu Tisa wawili kati yao wakiwa polisi wa kituo cha Oysterbay. Dar es salaam wamekamatwa Wilayani Kisarawe , mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa wakisafirisha Meno 70 ya Tembo (kilo 305) kinyume na sheria. Meno hayo kwa hesabu ya Kawaida ni sawa na Tembo 35, wameuwawa! na Thamani yake ni Tsh 850 Milioni.
'' Mwisho wa Kunukuu''

NB: Habari hii kwanza inasikitisha sana. Sijui nchi inakokwenda na hawa ni wachache wanaoshikwa je ambao hawajashikwa?!!! Ukiangalia hesabu hiyo iliyowekwa na mwandhishi yaani Tembo 35 Kwa siku moja inatisha.
Kuna Tasmini moja niliwahi kusikia Clouds Radio kwamba Nchi ina wastani wa kama tembo 7,000 hivi. Sasa Tukichukua 7000 gawanya kwa 35 tunapata 200Days.
So kama tukisema kila siku tembo wauwawe kwa kiasi hicho hapo juu ina maana ndani ya siku 200 Tembo wote Tanzania watakuwa wameisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Inatishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Ooooh Mwalimu Nyerere Baba unaweza kufufuka hata uje ukae mwezi mmoja tu uwachape watu vile viboko vyako 12 kabla ya kwenda jela na 12 siku ya kutoka jelaaa?

CC Nape Nnauye, MAFILILI Mwigulu Nchemba Taswira
 
polisi polisi polisi
Kuua Binadamu - polisi
Kutesa watu - polisi
Kurusha mabomu - polisi
Kuua tembo - polisi
Kuua na kubambikiza mtu kichwa cha binadamu - polisi
Kuficha/kushirikiana na wauza mihadarati - polisi

And yet, waziri mwenye dhamana nao yupo ofisini anadunda!!!!!!!!!!!!!

du umesahau na zile pesa za wafinya biashara geita 360 million ...dsm 150 million yaaani badala ya kusaidia wananchi wao wanawapora
 
Ni muendelezo tu sasa hatushtuki tena watanzania na habari hizo za polisi wetu walianza wale waliokamatwa na Bangi, kisha wakafuata wengini waliokutwa na Twiga sasa hivi ni hawa wa meno ya tembo. Na tutarijie mengi sana kwasababu huko nyuma polisi tayari walishakutwa na lita kadhaa za gongo katika baadhi ya maeneo na wengine imesikika wakihusika kutorosha wahamiaji haramu, hilo ndilo jeshi letu la polisi binafsi sitashangaa endapo siku moja (japo hatuombei itokee) zikatokea taarifa kuwa wamekutwa na viungo vya Albino au wamehusika kuteka na kuuwa albino.
 
Huyo kamanda aliyewashika, asachiwe kwanza kwake kapeleka mangapi??? Hata akisema ni hayo tu hatuwaamini tena. Lazima kakata nusu kaficha. Ikiwa copper nzito ka nini ilikatwa nusu vipi meno ya tembo. Uuuuuuiiiiiii jamani nalilia huyo mnyama anayeitwa te - mbo. Meno yanenda Hon Kong, dola zinapitia Afganistan na Pakistan kuleta Sembe au u-nga. Kazi ipo.
Huna haja ya kubadili fedha! Lol.
 
Natoa wito .......

Hao jamaa wapelekwe kwa tembo huku ili haki itendeke haya yatavumiliwa mpaka lini?
 
WATU tisa wakiwamo askari polisi wawili wa Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam wametiwa mbaroni wakiwa na meno 70 ya tembo (sawa na tembo 35). ...........
Kamanda Matei alifafanua kuwa meno hayo yana uzito wa kilo 305, yakiwa na thamani ya sh 850,500,000, huku akitoa wito kwa wananchi kuwafichua watu wanaojihusisha na vitendo vya ujangili ili wachukuliwe hatua bila kujali nyadhifa zao...

Katika hatua nyingine, mkazi wa Mwananyamala, jijini Dar es Salaam, Ibrahim Mnyanga (58) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na vipande 16 vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilogramu 24.5 ....

Khaa!!! asante kwa taarifa. Lakini taarifa yako inatuchanganya hatujui ni meno au pembe, Mbona kuna tofauti kubwa sana kati ya meno na pembe? Tujifunze. Wengine hatuko hapa kwa ajili ya ubishani wa kiccm na kicdm. Tupo hapa angalau kujua madhara ya kweli katika jamii.
 
Hongera kwa jeshi la polisi kwa kuwatia mbaroni hao watuhumiwa!!

Bila wao (polisi waadilifu) tusingejua haya yote

Bado ninaimani na utendaji wa polisi,ila kuna wachache wachafua jeshi lote!!
 
:bored:LO! Mbona wote waliokamatwa ni waisilamu? Nawasihi ndugu zangu waisilamu muwape watoto wenu ushauri nasaha kwa sababu kweli watatumalizia tembo hapa tz. Labda kama walitumia majina bandia upelelezi ukikamilika tuelezwe majina yao halisi. Binafsi naona wakati umefika sasa wa kuchambua kimadhehebu wanaofanya uasi unaolenga kuiangamiza nchi hii ili ieleweke wazi ni dhehebu gani halilei watu wake kwa maadili mazuri. NI MUHIMU na hili litatusaidia dhehebu gani tujiunge.
 
Hiyo anatakiwa aulizwe kinana maana ndo anajua bei harisi ya meno ya tembo na tembo mwenyewe and other products,sio waandishi wao wanaambiwa tu,
 
hawa jeshi la polisi tangu walipoanza kushadidia ccm wamekuwa mafisadi sana tu
 
Waarifu wakikamatwa mnalalamika wasipokamatwa mnalalamika kweli kuongoza nchi ya walalamikaji ni sawa na kubeba gunia la misumari
 
tarifa zinasema kuwa waliokamatwa wote ni makamanda wa chadema .
 
Back
Top Bottom