Elections 2010 Polisi wanaosimamia usalama 31 Oktoba upiga kura?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Hivi hawa polisi wanaokuwa zamu, vituoni, barabarani na kusimamia vituo vya kupigia kura muda wote wanapiga kura saa ngapi na wapi? Au wenyewe huwa hawataki kupiga kura? Au CCM wanajua wakipiga kura hawatawachagua kwani vile vijumba vyao kama vya bata vinawakera?
 
Huwa wanapiga..aidha mwanzo kabisa wa zoezi, au mwisho wa zoezi, au popote akipata nafasi!
 
Back
Top Bottom