figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba wanaharibu taswira ya Tanzania.
Eti kufahamiana sio vibaya wanasema.
Wao hawaoni kama wanasumbua watu.
Wakati huo huo waliovaa kiraia ukiwaomba Kitambulisho waliovaa kiraia, wanakuwa wakali kama mbwa kichaa. Je, Polisi kuombwa Kitambulisho kosa lipo wapi? Sasa kwanini wakunje sura na kuvuta mdomo.
Kuepusha Shari, wakiomba unawapa japo namba ya nida. Polisi sasa wapo juu ya sheria.. Wanaweza kukupoteza, kukupiga risasi au kukugonga virungu vya Ugoko na usiwafanye kitu.
Ukimuona Polisi sasa hivi kama humumdu au ana bunduki kimbia hajalishi kuna kona au la. Kama unamuweza usife kinyonge. Polisi wa sasa sio wa kuwaonea huruma.. Usimpe ushirikiano wala msaada.
Wale wanaopenda kukopa changanya na chochote akazikane na ndugu zake wanae na mkewe. Tupambane nao kisirisiri huku tunawachekea.. Polisi ni adui wa Raia, hili nimeligundua baada ya kuona wanaua watoto kisa kutamka neno "SIMTAKI SAMIA". Maneno yamekuwa Mkuki?