Polisi wamwagwa uwanja wa SOWETO hakuna mtu yeyote kukatiza!

Kusa askari namwona anakoki risasi!
Afande Paulo huo ni uwoga acha kutukokia risasi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Staki kuamini kama haya yanatokea na kama ni kweli na ikitolewa taarifa yoyote na kuahirisha uchaguzi wa 30/6/2013 nitaamini haya mauaji yalipangwa kwa lengo maalum!
 
Nipo karibu na uwanja wa Soweto ambapo Polisi wameuzunguka huku katikati mwa uwanja kukiwa na magari mawili ya matangazo ya CDM na Hema pamoja na viti.

Polisi ni wengi kuliko kawaida na wapo na Magari ya Maji ya kuwasha.lengo ni kuhakikisha kwamba Wafuasi na Wanachadema hawapati nafasi ya kuwaaga Marehemu wa Mlipuko wa Bomu uliotokea ktk uwanja huohuo wa Soweto.

Leo ndio ilikua siku ya kuwaaga marehemu ktk viwanja hivyo vya soweto. Watu wengi hapa Arusha kutoka kata mbalimbali walijitayarisha kwenda kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Marehemu.

Kuzuiwa huku kwa watu kwenda uwanjani SOWETO ni muendelezo wa Hujuma na Uonevu unaofanywa na jeshi ka polisi kwa maagizo Viongozi wa serikali na CCM dhidi ya CHADEMA.
Hii ni hatari sana kwa Amani ya nchi yetu. Watu wamekufa na wengine kujeruhiwa,lakini bado serikali kwa kutumia jeshi la polisi linaendeleza hasira kwa Wafiwa bila kujali kwamba CDM na wanachama wake wanaweza kutumia nguvu kuingia uwanjani kitu kinachoweza kuhatarisha Amani na kuleta Vurugu na Vifo vingine.
Polisi tunaomba msikubali kutumika na watawala kwa Maslahi yao.

kwa hiyo wewe unataka polisi waruhusu wanasiasa watumie watu waliokufa kisiasa hiyo haikubariki hata kidogo.
 
Poleni sana makamanda na wapenda haki wote..ccm wanajua washapoteza matumaini kwa watanzania wamebakiwa na hofu tu na ndiyn mana wanaweweseka tu hawajui wafanye lipi waache lipi!
 
Mkuu kweli hawa wanafanya masihara wakati wa msiba! Sijui wanalipwa kiasi gani na CCM
Ipo siku itawafika na hatutawaona tena hapa JF,Ucheze na damu za watu bila sababu ya msingi!Tujifunze kuthaminiana na kutunza utu wetu tofauti za kisiasa ni za kawaida katika jamii hatuwezi wote kuwa na mtazamo sawa na maono yale yale
 
Wanazidi kutudhihirishia ukweli wao na serikali yao ndo wahusika
 
Serikali ya Kipuuzi, Matamko ya Kipuuzi na kila kitu chao cha kipuuzi......waulize kwanini sasa wanawazuia watu kwenda hapo. Utaambiwa eti Intelijensia yao imeonyesha kuwa kutakua na Machafuko....... upuuzi mtupu, watu wamekusanyika tangu juzi, mbona hatujaskia chochote wala lolote? I hate CCM and its puppets

CC: zumbemkuu Mohamedi Mtoi MANI

Eti wanaogopa watu watajaa sana halafu siku ya uchaguzi wanaweza kupiga kura za hasira dhidi ya cc-harm.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana makamanda na watanzania wote wapenda haki wote hakika yote haya yanamwisho wake tu!
 
Hii nchi inatawaliwa kijeshi sio haijawekwa wazi tu,nashangaa leo hii Nape,Mwigulu wanaweza amrisha askari,usalama wa taifa fanya hivi na wakafanya-ni aibu sana na ni unethical kuanzia duniani hadi Mbinguni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahahaha na wewe umechangia.
 
Miili ya marehemu hao ipo uwanjani hapo au iko wapi?, kama inashindikana hapo uwanjani basi waende mahali pengine, ikiwezekana mochwari
 
wao waendelee kuwakomaza watanzania tu kwa hayo mabomu na risasi itafika wakati vitazoeleka.
 
Poleni sana makamanda na wapenda haki wote..ccm wanajua washapoteza matumaini kwa watanzania wamebakiwa na hofu tu na ndiyn mana wanaweweseka tu hawajui wafanye lipi waache lipi!

Nani kakudanganya hivo. Mlisema nchi haitatawalika..
 
kwa hiyo wewe unataka polisi waruhusu wanasiasa watumie watu waliokufa kisiasa hiyo haikubariki hata kidogo.
unawaza huku ukisinzia,yaani anayetumia misiba kisiasa ni nani kama sio CCM wapi katika sharia za nchi inapokatazwa wananchi kuagwa na kuombeleza, mara ngapi marehemu wameagwa kwenye viwanja vya wazi kwa nini isiwe kwa wananchi wa Arusha acha ujinga wa kujitekenya
 
Kube
Weka ubinadamu mbele. Wenzako wanaomboleza, wewe unafikiria siasa. Kumbuka mageuzi ni Kama gharika. Mageuzi hayawezi kuzuiliwa kwa kutumia polisi wala mtutu wa bunduki. Watu wamepoteza wapenzi wao na viongozi wao, ni upuuzi kufikiri kuwa hiyo ni sehemu ya Kampeni. Wananchi wa Arusha tayari wanajua watampa nani kura tarehe 30.6 msiwageuze mazezeta. Kuweni basi binadamu damu ya waliopoteza maisha iwafikirishe wote wenye mawazo Kama yako kuwa hatimaye yuko Mwenyezi Mungu amble hahongeki na wala hawed kufungwa mdomo. Ndiyo maana hila, propaganda na hujuma zote tulizofanyiwa hadi sasa zimeshindwa. Hii nayo itashindwa, na kwa Mara nyingine ten a Chadema itakuwa imepita kwenye tanuru la kukiimarisha.



QUOTE=KIBE;6612548]huu ni msiba lakini cdm wanataka kuweka kama sehumu ya kampeni zao ..ndio wanachofanya kila mara wanasababisha mauaji alafu wanakuwa mbele kuonekana lengo ni kwa manufaa binafsi...kwa khali ya sasa huwezi ruhusu mkusanyiko wa watu... maiti za watu wenyewe wanakuja kufanyia kampeni[/QUOTE]
 
Dalili zote za kushindwa ziko wazi. Eeeh ccm fanya fujo zako za mwisho mwisho kwani mwisho wako umeshafika. Na sijui nani atabaki ccm baada ya kutolewa madarakani 2015 kwani wengi wenu ni waganga njaa na watu wanaotafuta ulaji tu. Nani atakubali kukiongoza chama ambacho hakieleweki malengo na misingi yake.
 
That is exactly the right thing to be done. Huu upuuzi wa watu kurusha wenyewe mabomu na kisha kutumia misiba kama njia ya kujipatia umaarufu tumeshauchoka. Watu washaamua ku deal na nyinyi jino kwa jino. Na kwa vile meno yenu ni dhaifu na machache, ni muda mfupi tu mtakuwa VIBOGOYO. Hamfiki2015 na mkifika mtakuwa dhsifu saaaaaana
kinyesi mdomoni..
 
Back
Top Bottom