Polisi wamwagwa uwanja wa SOWETO hakuna mtu yeyote kukatiza!

That is exactly the right thing to be done. Huu upuuzi wa watu kurusha wenyewe mabomu na kisha kutumia misiba kama njia ya kujipatia umaarufu tumeshauchoka. Watu washaamua ku deal na nyinyi jino kwa jino. Na kwa vile meno yenu ni dhaifu na machache, ni muda mfupi tu mtakuwa VIBOGOYO. Hamfiki2015 na mkifika mtakuwa dhsifu saaaaaana

Hii haitafanya kazi kabisa ila itawahimarisha mkuu, hujui kuwa ili chuma kiimalike sharti kipigwe moto kwanza?, kwa taarifa yako kila jambo baya na la kiuonevu dhidi yako linakuimalisha na kukuweka karibu hata na watu waliokuwa adui zako. Kama CCM itakuwa inatumia mbinu hii iliyotumika mwaka 292 wakati wa kumuua sokorati watakuwa wamepotea maboya sana mkuu. kama wewe ni mmoja wao usitoe mapovu bure mpaka kushindwa kuandika vizuri speling, ila wape ushauri wakijenge chama na kuondoa watu wenye kashifa katika chama, hasa uo ufunguo aliozungumzia mwenzenu jana Bungeni jioni.
 
Watanzania hakuna shida hata kama wakizuia leo kuaaga marehemu.tutafanya siku nyingine.Na itakuwa vizuri kwani kuna watu tuo njiani kuja kutoa heshima za mwisho .watu ni wengi sana bado tupo njiani.wao wanaona wametukomoa hakuna imekula kwao.tuwe na uvumilivu .watu wengi tupo njiani.
 
That is exactly the right thing to be done. Huu upuuzi wa watu kurusha wenyewe mabomu na kisha kutumia misiba kama njia ya kujipatia umaarufu tumeshauchoka. Watu washaamua ku deal na nyinyi jino kwa jino. Na kwa vile meno yenu ni dhaifu na machache, ni muda mfupi tu mtakuwa VIBOGOYO. Hamfiki2015 na mkifika mtakuwa dhsifu saaaaaana
Ujinga + Umaskini wa mawazo unakufanya uandike ulioandika.Acha upu.......vu!!!Unachochekelea leo ndo mauti yako na kizazi chako kesho.:focus:
 
Laiti ningekuwa pande hizo, ningejitoa mhanga niingie kwa nguvu nione itakuwaje.

Ungeuawa, halafu idadi ya waliokufa ingefikia 4! Nouma sana Mtoto halali na hela! DAWA YAO NI KUWATOA KUPITIA SHAHADA ZETU ZA KUPIGIA KURA, LAITI KAMA BUNDUKI NAZO NA MABOMU YANGEKUWA YANAPIGA KURA, CCM INGESHINDA 2015 KWA KISHINDO
" MTU ANAPOKUFA LAZIMA AHANGAIKE SANA CAUSE ROHO INAACHANA NA MWILI, CCM INAACHANA NA IKULU"
 
that is exactly the right thing to be done. Huu upuuzi wa watu kurusha wenyewe mabomu na kisha kutumia misiba kama njia ya kujipatia umaarufu tumeshauchoka. Watu washaamua ku deal na nyinyi jino kwa jino. Na kwa vile meno yenu ni dhaifu na machache, ni muda mfupi tu mtakuwa vibogoyo. Hamfiki2015 na mkifika mtakuwa dhsifu saaaaaana
siamini kama na wewe unajiita binadamu wa kawaida
 
fire.jpg
:A S new:

arusha pawaka moto,kwani naona moto!​
 
Serikali ya Kipuuzi, Matamko ya Kipuuzi na kila kitu chao cha kipuuzi......waulize kwanini sasa wanawazuia watu kwenda hapo. Utaambiwa eti Intelijensia yao imeonyesha kuwa kutakua na Machafuko....... upuuzi mtupu, watu wamekusanyika tangu juzi, mbona hatujaskia chochote wala lolote? I hate CCM and its puppets

CC: zumbemkuu Mohamedi Mtoi MANI
kuna wakati polisi watashindwa tu. inakera sana
 
Hii haitafanya kazi kabisa ila itawahimarisha mkuu, hujui kuwa ili chuma kiimalike sharti kipigwe moto kwanza?, kwa taarifa yako kila jambo baya na la kiuonevu dhidi yako linakuimalisha na kukuweka karibu hata na watu waliokuwa adui zako. Kama CCM itakuwa inatumia mbinu hii iliyotumika mwaka 292 wakati wa kumuua sokorati watakuwa wamepotea maboya sana mkuu. kama wewe ni mmoja wao usitoe mapovu bure mpaka kushindwa kuandika vizuri speling, ila wape ushauri wakijenge chama na kuondoa watu wenye kashifa katika chama, hasa uo ufunguo aliozungumzia mwenzenu jana Bungeni jioni.
sikiliza wewe!!!! CHADEMA ni mende tu ndani ya kabati la mwenyenyumba. kama mende wakizidisha uharibifu ni wajibu wa mwenye nyumba kuwaangamiza na sio kwa mwenye nyumba kuihama nyumba yake. mende nyinyi mmezidi mbwembwe
 
Hata Sadamu na Gadaffi walisema hivyo lakini sasa wako wapi? Nchi hii ni yetu wote na hakuna mwenye haki ya kumwita mwenzake Mende , kwani wewe una sifa gani zaidi ya ubinadamu na utanzania? Ujue kuwa binadamu anapanga na Mungu nae anapanga na hakuna marefu yasiyo na mwisho. Hoa hao binadamu wamewekwa kwenye madaraka na nani si na hao unaowaita Mende !!!! kama mende wamekuweka madarakani wewe utakosaje kuwa mende mwenzao !!!??? inawezekana umri wako ni mdogo sana kujua mambo au Elimu yako bado iko njiani , kama yote hayo huna nakuomba saaaana kwa heshima na taadhima umuone daktari hasa kule Dodoma .
 
vichaa hutambuana kwa matendo yao... nashukuru kichaa mwenzangu kwa kuniona mwenzako. vip mwenzangu umeshakuwa discharged toka milembe??????
 
dr slaa ni mtu wa kwanza kulaumiwa katika matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi maana alishiriki kikamilifu mjadala huu kuhamasisha wananchi waende soweto licha ya kuzuiliwa
 
Back
Top Bottom