polisi wamwagwa Arusha

polisi wamwagwa Arusha

Tuwe macho na hao polisi waliovalia Kiraia. Wasije kuanzisha fujo ili kuchafua mkutano wa CDM. Wale wa walinzi wa CDM wapo?
 
Bavicha Arusha wasambaze walinzi wa Chama kila kona uwanjani. Hawa askari bila uniform na mamluki wataleta fujo.
 
Hakuna nguvu ya dola iliyowahi kuishinda nguvu ya umma duniani.
 
police nikazi ya utii kwanza haki baadaye, sidhan ata kama wanapendaga but no way.... acha tu wafanye MI-CCM ndio wakat wao wa mwisho.
 
Wanatakiwa watii kiu zao.Kama mioyo yao inawatuma kulinda walinde usama wa wananchi otherwise watakuwa kama mashine tu wanaendeshwa. Maana yake ni kwamba wachanganye na akili zao katika kupiga raia.Maana tunakoenda tutaoneana aibu sana.Amani kwenu
 
Hata magamba walete polisi wa ccp wote, hakuna wa kuzuia nguvu ya umma
 
Ukweli ni kwamba hata Police men nao wamechoka na uongozi tulionao ila tu wanashindwa wafanyaje
kutokana na "NDIYO AFANDE". Ukikaa nao wanasema na wanauchungu wa maisha ya ndugu zao. Jeshi ndo usiseme kabisa.
 
Back
Top Bottom