MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
sijawahi kuona serikali ya wapumbavu kama hii yaani mnampiga halafu mnamwambia aje polisi kuthibitisha...
Duuuuh!
sijawahi kuona serikali ya wapumbavu kama hii yaani mnampiga halafu mnamwambia aje polisi kuthibitisha...
Kwanza waliokuwa na bunduki ni Polisi. Ndio pia walikuwa na mabomu ya machozi. Walilipua mabomu ya machozi na risasi hewani kuwatawanya waliokuwa wanamkinga Ponda. Waliokuwa wanamkinga Ponda hawakuwa na bunduki ila mawe. Je Ponda kapigwa jiwe au risasi? Kama alipigwa jiwe waliokuwa na mawe ndo walimpiga. KAMA ALIPIGWA RISASI BASI WALIOKUWA NA BUNDUKI NDO WALIMPIGA kwa maana kulikuwa na purukushani kati ya wenye mawe na wenye bunduki.Waongo....hata kwa mwangosi walisema ni ktu kizito kilirushwa
Khaa!! basi wameshindwa kusimamamia sheria. haya mambo ya kulealeana mwisho yatawatokea puani. Kama vipi serikali imemshindwa basi wangempa hata ukuu wa wilaya naye atulie kuliko hivi kila siku mara hili mara lile. Watu wanapoteza maisha yao, wanapata vilema na wengine wanapoteza mali zao. Kudadadeki! :bored:Bado wanamtafuta!ila wanamuona vzr tu!watakuwa hawajapewa amri ya kumkamata."
unafanya makosa sana kwa andiko lako hilo, polis wa tanzania ni hovyo si kwa wakristo, waislamu au wasio na dini, toka tukio la nyororo, arusha, mwembechai na sasa moro, polis ndo wahusika!Huu ujinga tu.....wanaonea waislAm tu
Shekhe Ponda ameombwa ajitokeze ili kuthibitisha kuwa amepigwa risasi na jeshi la polisi.
Source: ITV
Huu ujinga tu.....wanaonea waislAm tu
5. KUFUATIA TUKIO HILO, TIMU INAYOSHIRIKISHA WAJUMBE KUTOKA JUKWAA LA HAKI JINAI IKIONGOZWA NA KAMISHINA WA JESHI LA POLISI CP ISSAYA MNGULU IMEANZA KUFANYA UCHUNGUZI WA TUKIO HILO.
Umefika wakati na sisi wananchi tuanze kujibu mapigo dhidi ya huu udhalimu wa hawa mapolisi.
Kila kukicha sioni dalili za hili Taifa kuondokana na umasikini,unafanya utafiti wakati majibu unayo...!inahitaji moyo mgumu kujivunia utaifa wako!
Ni mtazamo tu.........:help:
Finally, now we have the official report. Than you fhis. But your haven't told us if he under arrest or not.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums