Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
r u promoting Tanzania daima?
Tanzania Daima ya leo imeripoti polisi wamemvamia mgombea wa Chadema nyumbani kwake na kumwibia shilingi milioni kumi..................................soma habari leo kwa taarifa za ziada...........
Hivi polisi sasa baada ya kuwa walinzi wetu sasa yabidi tuwaogope kwa sababu tofauti yao na majambazi yalekea kufifia kabisa..............................
Tanzania daima si chanzo cha kuaminika hasa linakuja suala la CHADEMA ni sawa na kuleta habari za CCM halafu source iwe Uhuru.
tofautisha siasa na haki ya msingi ya mwananchi kulindwa na polisi, yaani 'usalama wa raia'. kwa mtizamo chanya, gazeti hili linaweza kuripoti kuwa raia yeyote kavamiwa na kuporwa, siyo tu mtu wa chadema. mantiki hapa ni kuwa tanzania daima kuripoti mbunge wa chadema kavamiwa haina uhusiano na siasa. kama polisi kafanya wizi, angeweza kupora yeyote hata wa TLP ila gazeti lililowahi stori ndio lingewahi kuitoa. ndio ilivyotokea kwa tanzania daima.
na aliyevamiwa ni aliyekuwa mgombea ubunge wa chadema jimbo la mvomero, morogoro, anaitwa Matokeo Manyeta.
na kitendo hicho kinasemekana kuongozwa na mkuu wa upelelezi wa wilaya hiyo.
nawasilisha.
Hizo millioni kumi alikuwa nazo wapi!!!! Ndani ya nyumba au wapi!!! Dunia ya leo unakaa na milioni kumi ndani kwako!!!
Tiba
Tanzania daima si chanzo cha kuaminika hasa linakuja suala la CHADEMA ni sawa na kuleta habari za CCM halafu source iwe Uhuru.
kwanini usikae nazo si zako! tatizo upeo wetu wengine mdogo milioni kumi si nyingi kama tufikirivo!Hizo millioni kumi alikuwa nazo wapi!!!! Ndani ya nyumba au wapi!!! Dunia ya leo unakaa na milioni kumi ndani kwako!!!
Tiba