Polisi wampora mgombea wa Chadema milioni kumi!!!!!!!!!!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,181
Tanzania Daima ya leo imeripoti polisi wamemvamia mgombea wa Chadema nyumbani kwake na kumwibia shilingi milioni kumi..................................soma habari leo kwa taarifa za ziada...........

Hivi polisi sasa baada ya kuwa walinzi wetu sasa yabidi tuwaogope kwa sababu tofauti yao na majambazi yalekea kufifia kabisa..............................
 
Mkuu,

Mgombea gani kaporwa? tupe jina ama link ya kupata more detail mkuu
 
Tanzania daima si chanzo cha kuaminika hasa linakuja suala la CHADEMA ni sawa na kuleta habari za CCM halafu source iwe Uhuru.
 
tofautisha siasa na haki ya msingi ya mwananchi kulindwa na polisi, yaani 'usalama wa raia'. kwa mtizamo chanya, gazeti hili linaweza kuripoti kuwa raia yeyote kavamiwa na kuporwa, siyo tu mtu wa chadema. mantiki hapa ni kuwa tanzania daima kuripoti mbunge wa chadema kavamiwa haina uhusiano na siasa. kama polisi kafanya wizi, angeweza kupora yeyote hata wa TLP ila gazeti lililowahi stori ndio lingewahi kuitoa. ndio ilivyotokea kwa tanzania daima.

na aliyevamiwa ni aliyekuwa mgombea ubunge wa chadema jimbo la mvomero, morogoro, anaitwa Matokeo Manyeta.
na kitendo hicho kinasemekana kuongozwa na mkuu wa upelelezi wa wilaya hiyo.
nawasilisha.
 
Hizo millioni kumi alikuwa nazo wapi!!!! Ndani ya nyumba au wapi!!! Dunia ya leo unakaa na milioni kumi ndani kwako!!!

Tiba
 
Mkuu
million kumi kwa Tanzania ya leo ni kama unavyotembea na dollar mia hapo Marekani.
au paundi 50 ya uingereza.kwa hiyo siyo big deal kuwanayo nyumbani.
 
Tanzania daima si chanzo cha kuaminika hasa linakuja suala la CHADEMA ni sawa na kuleta habari za CCM halafu source iwe Uhuru.

Mkuu, I beg to differ. Tanzania Daima ni miongoni mwa magazeti yaliyo objective and fair, haliwezi hata siku moja kulinganishwa na magazeti ya udaku kam Uhuru, Mtanzania, Daily News, Rai, Al Hulda, etc
 
je hii ni kweli polisi kupora fedha hizo au ni kielelezo? inawezekana alipopekuliwa alikutwa na pesa hizo ambazo ama ni kielelezo au ni PPR(prisons property receipts) ebu hoji vizuri si rahisi polisi kufanya hivi hadharani ama sivyo hao ni majambazi.
 
aaah polisi MAJIZI tu nayo yamechangia kulinda jizi lile pale magogoni itakuwa vijifedha hivo
 
Hizo millioni kumi alikuwa nazo wapi!!!! Ndani ya nyumba au wapi!!! Dunia ya leo unakaa na milioni kumi ndani kwako!!!

Tiba
kwanini usikae nazo si zako! tatizo upeo wetu wengine mdogo milioni kumi si nyingi kama tufikirivo!
 
Sh. 10M = US$ 6.600 si hela ndogo kwa bongo.

Inategemea na transaction za mtu kwa siku husika au shughuri zake. bank zetu sio efficient kiasi hicho hivyo watu wanaona ni vema kuwa na cash ya kutosha kufanya mambo yaende. Kwa maana hiyo hata mie naona sio pesa nyingi kihivyo
 
Back
Top Bottom