Polisi wamkamata Joseph Sanura aka Ngosha, aliyekuwa mpenzi wa Penina wa Goba Centre

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,456
10,218
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa Goba center.

Taarifa ya Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP. Muliro Jumanne imeeleza kuwa tukio hilo limetokea Mei 23, 2024 majira ya 07:00 huko maeneo ya Goba Center, Kinondoni katika Pub ya iitwayo Penina.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa, uchunguzi wa awali wa Polisi unaonesha kulikuwa na mgogoro wa kimahusiano kati ya mtuhumiwa na marehemu kabla ya kushambuliwa kwa panga na mtuhumiwa.

Aidha, taarifa ambazo Dar24 Media imezipata kwa vyanzo mbalimbali zinabainisha kuwa Joseph alikua anamuhisi mpenzi wake anachepuka, na inasemekana siku hiyo Penina hakurejea nyumbani hali iliyomlazimu mtuhumiwa kumfuata ofisini kwake na kumshambulia hadi kupelekea umauti.

Inaarifiwa kuwa pia Penina ameacha watoto wawili na mwili wake unazikwa hii leo Mei 24, 2024 jioni huko Goba huku Polisi ikisema upelelezi unakamilishwa, ili mtuhumiwa afikishwe Mahakamani haraka iwezekanavyo.

Pia soma: Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
 
being a lawyer, kuna kichaka kikubwa sana kimejificha kwenye suala la mapenzi likisababisha mauaji kudondokea kwenye manslaughter. tutafanyeje ndio sheria.
 
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa Goba center.

Taarifa ya Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP. Muliro Jumanne imeeleza kuwa tukio hilo limetokea Mei 23, 2024 majira ya 07:00 huko maeneo ya Goba Center, Kinondoni katika Pub ya iitwayo Penina.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa, uchunguzi wa awali wa Polisi unaonesha kulikuwa na mgogoro wa kimahusiano kati ya mtuhumiwa na marehemu kabla ya kushambuliwa kwa panga na mtuhumiwa.

Aidha, taarifa ambazo Dar24 Media imezipata kwa vyanzo mbalimbali zinabainisha kuwa Joseph alikua anamuhisi mpenzi wake anachepuka, na inasemekana siku hiyo Penina hakurejea nyumbani hali iliyomlazimu mtuhumiwa kumfuata ofisini kwake na kumshambulia hadi kupelekea umauti.

Inaarifiwa kuwa pia Penina ameacha watoto wawili na mwili wake unazikwa hii leo Mei 24, 2024 jioni huko Goba huku Polisi ikisema upelelezi unakamilishwa, ili mtuhumiwa afikishwe Mahakamani haraka iwezekanavyo.
Kumtoa roho mtu kwa mtu kwa ajili ya mapenzi kwangu mimi ni ujuha tu, maana sasa hapo Ngosha anaanza sumbuka na polisi, mahakama, kote huko atahongoa, bado ataweka advocate hela napo itamtoka, haya marehemu kaacha watoto so Ngosha anaonekana muuaji kwenye macho ya hao watoto.

Kama mtu kaamua kuutumia mwili wake kwa mtu mwingine ni bora kuachana tu mbona Ke/Me wapo wengi mpaka wamepitiliza!!
 
aisee hawa watani zangu waporipori kwelikweli,mwanamke alishakuwa na mahusiano kabao, muuza pombe, ana watoto na wanaume wengine, anakatakata hivyo, angekuwa alimkuta bikra si angewehuka kabisa? au angefyeka mtaa mzima kama nyegere?
Huenda alichopatiwa na Marehemu hakuwa amekipata mahali pengine popote...

Na huenda hakuwa tayari kukipoteza, hivyo hisia zikaizidi nguvu akili yake, na akaishia kufanya alichokifanya...
 
Back
Top Bottom