Polisi wameshindwa kumpata Ben Saanane. Scotland Yard waitwe | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wameshindwa kumpata Ben Saanane. Scotland Yard waitwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Nyerere, Jan 2, 2017.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Jan 2, 2017
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,026
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  Mambo yaliyoandikwa katika gazeti la Mwanahalisi yachukuliwe kama yalivyoandikwa;kwamba Ben Saanane alisema PhD ya Magufuli ni forgery. Imeandikwa na mtu mmoja anaitwa Phillip.
  Baada ya hapo Ben Saanane kusema hivyo ametumiwa message za vitisho, kutishiwa kumezwa na chatu, amekimbia ameenda kujificha.
  What are we finding so difficult to understand?
   
 2. k

  kauzu12 JF-Expert Member

  #41
  Apr 21, 2017 at 10:09 PM
  Joined: Nov 11, 2016
  Messages: 429
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 80
  Mayalla: njaa
   
 3. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #42
  Apr 21, 2017 at 10:09 PM
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,181
  Likes Received: 10,223
  Trophy Points: 280
  Ili NSY waitwe lazima kwanza kuwepo na a political will ya quest for search, ya kumtafuta Ben Saanane, lakini kama ni kazi ya "the operatives" na imeelezwa "ametangulia mbele ya haki" then it's a known case, no one can call NSY kwa a known issue!.

  Paskali
   
 4. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #43
  Apr 21, 2017 at 10:10 PM
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,181
  Likes Received: 10,223
  Trophy Points: 280
  Kwa kosa gani?.

  Paskali
   
 5. k

  kauzu12 JF-Expert Member

  #44
  Apr 21, 2017 at 10:12 PM
  Joined: Nov 11, 2016
  Messages: 429
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 80
  Wakija hawa jamaa labda vyeti vitaonekana
   
 6. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #45
  Apr 21, 2017 at 10:18 PM
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Wewe jamaa ujue paskali ni dingi kabisa ... leo unamwita do go?
   
 7. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #46
  Apr 21, 2017 at 10:19 PM
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,090
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Ile hotuba ya mkuu yale maneno unaweza hisi alikusudia kusema ili mjadala uishe.

  Nahisi yanakaukweli fulani maana jamaa kwa hulka yake ni mstaarabu na si mpenda mikiki.
   
 8. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #47
  Apr 21, 2017 at 10:20 PM
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  vya bashite au sio
   
 9. Uzalendo Installer

  Uzalendo Installer JF-Expert Member

  #48
  Apr 21, 2017 at 10:21 PM
  Joined: Nov 8, 2014
  Messages: 1,174
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  Post yako ya kwanza ulisema waitwe..sa hivi unatafuta kuteuliwa unatetea kila kitu na kukana mawazo yako ya mwanzo..kwani huo wizi ambao waliitwa ilikuwa sio known issue
   
 10. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #49
  Apr 21, 2017 at 10:23 PM
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 37,035
  Likes Received: 13,425
  Trophy Points: 280
  Andrew Nyerere ni Bavicha ?
   
 11. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #50
  Apr 21, 2017 at 10:24 PM
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 37,035
  Likes Received: 13,425
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuona Mhaya duni kama huyo Rutashoborwa .
   
 12. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #51
  Apr 21, 2017 at 10:27 PM
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,312
  Likes Received: 687
  Trophy Points: 280
  Siamini kama MTU anaweza kutekwa 6months ago Na wasiojulikana Leo hii akute hai. Hata waliomteka walishaharibu Ushahidi. Tutapoteza tu fedha kuleta hiyo Scotland Yard. Imeshindikana kumpata kwa kutrace kwa cellular yake wapi alikuwa the last minute kuwa hewani? Au mitandao imeshaharibu Ushahidi?
   
 13. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #52
  Apr 21, 2017 at 10:29 PM
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 6,150
  Likes Received: 2,481
  Trophy Points: 280
  huoni umetoa mifano sensitive ambayo inamgusa bwana mkubwa. kama unadhani kuna uhuru not to that extent. ila inauma sana suala la ben. kama binadamu uliyekamilika lazima uguswe. ile ni nafsi na wala sio mti. leo yeye kesho sisi,, lazima tuonyeshe umoja wa kibinadamu
   
 14. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #53
  Apr 21, 2017 at 10:30 PM
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 6,150
  Likes Received: 2,481
  Trophy Points: 280
  mimi ni babu kabisa
   
 15. w

  white wizard JF-Expert Member

  #54
  Apr 21, 2017 at 10:34 PM
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,199
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  MV bagamoyo sasa ilishapewa namba ya usajiri kama kifaa cha jeshi!! Hurusiwi kukihoji tena?! Shauri yako.
   
 16. J

  Jozi 1 JF-Expert Member

  #55
  Apr 21, 2017 at 10:35 PM
  Joined: Aug 16, 2015
  Messages: 3,912
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  Scotland yard sio polisi?
  Kwanza Yeriko unanichafua tu hapa.
  'Makamanda' wa chadema mmeshatuchanganya na story zenu za kutekwa Ben hadi kichefuchefu.
  By the way, Kamanda Kubenea mbunge wa Ubungo keshatuhakikishia kuwa Ben kajiteka na yuko kitaa anakula shushu.

  Go clen ya stinking house.
  Yaani chadema imepiga show kubwa kwa Ney wa Mitego na Roma Mkatoliki kuliko kwa Ben Saanane msaidizi mahsusi wa Mbowe?

  Mnatuona wajinga sio???
   
 17. J

  Jozi 1 JF-Expert Member

  #56
  Apr 21, 2017 at 10:37 PM
  Joined: Aug 16, 2015
  Messages: 3,912
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  Sorry Andrew nilidhani naongea na Yeriko lakini hoja yangu iko palepale.
  Hakuna kuita Scotland yard wala Butiama yard
   
 18. M

  Mgango JF-Expert Member

  #57
  Apr 21, 2017 at 10:45 PM
  Joined: Oct 27, 2016
  Messages: 2,136
  Likes Received: 831
  Trophy Points: 280
  Dunia inapokuwa ikizunguka sisi tumesimama tu hatujui tuelekee wapi. Lakini tungekuwa tukimwamini Mungu kama ndiye muumbaji wa kila kiumbe tusingepata uthubutu wa kumgusa kiumbe wake. Hata tufanye jambo lolote sirini macho yake ni makubwa mno kiasi ambacho huona kila kitu. Tujihadhari sana
   
 19. Justice minister

  Justice minister JF-Expert Member

  #58
  Apr 21, 2017 at 10:47 PM
  Joined: Sep 1, 2016
  Messages: 518
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 80
  Unadhani Scotland yard ni sawa na polisi inayofanya kazi kwa kutumia akili za wanasiasa!
   
 20. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #59
  Apr 21, 2017 at 10:48 PM
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 4,674
  Likes Received: 4,304
  Trophy Points: 280
  Mbona nyie mnamuandika kwa mabaya zaidi ya hilo, na bado mpo hamjatekwa. Tena sio humu tu hata kwingine na majina yenu kabisa.

  Changeni pesa wawaite, kuna ndugu na jamaa wa wengi nchini wamepotea pia na hamwajali kuwasaidia ndugu zao warudi.
   
 21. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #60
  Apr 21, 2017 at 11:18 PM
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,147
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Freeman Mbowe anajua alipo Saa8, hata Saidi Kubenea aliandika kwenye gazeti lake, acha porojo za kifala
   
Loading...