Polisi wameshindwa kumpata Ben Saanane. Scotland Yard waitwe

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,445
Mambo yaliyoandikwa katika gazeti la Mwanahalisi yachukuliwe kama yalivyoandikwa;kwamba Ben Saanane alisema PhD ya Magufuli ni forgery. Imeandikwa na mtu mmoja anaitwa Phillip.
Baada ya hapo Ben Saanane kusema hivyo ametumiwa message za vitisho, kutishiwa kumezwa na chatu, amekimbia ameenda kujificha.
What are we finding so difficult to understand?
 
Naunga mkono hoja, Scotland Yard waitwe kusaidia, hata BOT ilipoungua, polisi wetu walishindwa hivyo Scotland Yard waliitwa. Na rushwa ya Rada ya BAE pia tulishindwa Waingereza wenyewe wakafanya kila kitu, hadi aliyehonga akakiri kuhonga ila akaomba asitoe majina bali alipishwe tuu faini kwa non disclosure na ndio hiyo cheji ya rada.

Hata kampuni ya Kagoda iliyokwapua bilioni 40 za EPA tumeshindwa kuichunguza hadi kesho, hivyo ni kweli tuombe msaada watusaidie na hata suala la MV Bagamoyo wanaweza kusaidia!.

Paskali
 
hahahaha mmbona hamsemi ukweli kuwa Mbowe na Kubenea anajua Ben alipo.
 
Mambo yaliyoandikwa katika gazeti la Mwanahalisi yachukuliwe kama yalivyoandikwa;kwamba Ben Saanane alisema PhD ya Magufuli ni forgery. Imeandikwa na mtu mmoja anaitwa Phillip.
Baada ya hapo Ben Saanane kusema hivyo ametumiwa message za vitisho, kutishiwa kumezwa na chatu, amekimbia ameenda kujificha.
What are we finding so difficult to understand?
Scotland yard wanini wakati Kubenea amesha onesha kuwa anajua alipo Ben
 
Imenipeleka mbali na kunikumbusha Kenya wakati wa kifo cha Robert Ouko.
Haikujulikana uchunguzi ulifanyikaje lakini walivyofika Scotland Yard mambo mengi yakawa rahisi na mwisho tatizo likawa ni nani atoe neno la mwisho. Hapo ndipo unatufikia ukweli wa kwamba 'dunia inazunguka'!
 
Kweli kwa akili yako unafikiri Polisi wameshindwa kumpata Ben Sanane?

Kama kweli Polisi wameshindwa basi Scotland yard watakuja. Lakini kama kweli Polisi hawajashindwa basi hutawaona kamwe Scotland yard katika ardhi ya Tanzania. Mark my words.
 
Bavicha acheni kutuchezea akili, Kama Taifa tunachangamoto nyingi za kuzihangaikia sio hizi sanaa za Mbowe na Saanane.

Na huyo Saanane siku akijitojeza hadharani lazima akae Ndani kwa muda wa kutosha ili mkitangaze vizuri chama chenu

Hatutaki siasa za kisanii nchi hii.!
 
Akae ndani kwa kosa gani na kwa kifungu kipi cha sheria ipi, hivi kutoonekana ni kosa?
 
Mambo yaliyoandikwa katika gazeti la Mwanahalisi yachukuliwe kama yalivyoandikwa;kwamba Ben Saanane alisema PhD ya Magufuli ni forgery. Imeandikwa na mtu mmoja anaitwa Phillip.
Baada ya hapo Ben Saanane kusema hivyo ametumiwa message za vitisho, kutishiwa kumezwa na chatu, amekimbia ameenda kujificha.
What are we finding so difficult to understand?
Mbona kuna wengine wamesema maneno makali zaidi na bado wanaonekana????
 
Scotland yard wanini wakati Kubenea amesha onesha kuwa anajua alipo Ben
Sasa Kubenea kama kasema Polisi walio na faili hilo wanashindwa nini kumpata? Hoja ya Andrew na Paskali ni kuwa sasa tunahitaji msaada wa Scotland yard kujua yuko wapi Ben?
Hoja hii mnaweza kuidharau lakini wanaweza kuja na kuvumbua mambo makubwa yanayo endelea mpaka hamu ya watu kwa watu fulani ikawaisha kabisa. Imewahi kujitokeza nchi nyingi.
 
Back
Top Bottom