Polisi wameshindwa kumpata Ben Saanane. Scotland Yard waitwe

Naunga mkono hoja, Scotland Yard waitwe kusaidia, hata BOT ilipoungua, polisi wetu walishindwa hivyo Scotland Yard waliitwa. Na rushwa ya Rada ya BAE pia tulishindwa Waingereza wenyewe wakafanya kila kitu, hadi aliyehonga akakiri kuhonga ila akaomba asitoe majina bali alipishwe tuu faini kwa non disclosure na ndio hiyo cheji ya rada.

Hata kampuni ya Kagoda iliyokwapua bilioni 40 za EPA tumeshindwa kuichunguza hadi kesho, hivyo ni kweli tuombe msaada watusaidie na hata suala la MV Bagamoyo wanaweza kusaidia!.

Paskali
Nilifikiri kuwa wewe ni mwandishi nguli kumbe nawe una siasa za rejareja hivi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Saanane tu,hizi drama zinazoendelea na Scotland yard!??Labda.
 
Mambo yaliyoandikwa katika gazeti la Mwanahalisi yachukuliwe kama yalivyoandikwa;kwamba Ben Saanane alisema PhD ya Magufuli ni forgery. Imeandikwa na mtu mmoja anaitwa Phillip.
Baada ya hapo Ben Saanane kusema hivyo ametumiwa message za vitisho, kutishiwa kumezwa na chatu, amekimbia ameenda kujificha.
What are we finding so difficult to understand?
we vipi tena.? Ben saa 8 si ameshonekana kwa marafiki zake huko sijui Kongowe Kubenea keshasema..!!?? we upo Tanzania hii kweli.? au umekurupuka usingizini.?
 
Naunga mkono hoja, Scotland Yard waitwe kusaidia, hata BOT ilipoungua, polisi wetu walishindwa hivyo Scotland Yard waliitwa. Na rushwa ya Rada ya BAE pia tulishindwa Waingereza wenyewe wakafanya kila kitu, hadi aliyehonga akakiri kuhonga ila akaomba asitoe majina bali alipishwe tuu faini kwa non disclosure na ndio hiyo cheji ya rada.

Hata kampuni ya Kagoda iliyokwapua bilioni 40 za EPA tumeshindwa kuichunguza hadi kesho, hivyo ni kweli tuombe msaada watusaidie na hata suala la MV Bagamoyo wanaweza kusaidia!.

Paskali
Hata Escrow ni miaka miwili sasa wameshindwa kubainika waliochota kupitia stanbic
 
Naunga mkono hoja, Scotland Yard waitwe kusaidia, hata BOT ilipoungua, polisi wetu walishindwa hivyo Scotland Yard waliitwa. Na rushwa ya Rada ya BAE pia tulishindwa Waingereza wenyewe wakafanya kila kitu, hadi aliyehonga akakiri kuhonga ila akaomba asitoe majina bali alipishwe tuu faini kwa non disclosure na ndio hiyo cheji ya rada.

Hata kampuni ya Kagoda iliyokwapua bilioni 40 za EPA tumeshindwa kuichunguza hadi kesho, hivyo ni kweli tuombe msaada watusaidie na hata suala la MV Bagamoyo wanaweza kusaidia!.

Paskali

Sasa na mv BAgamoyo tena...mkuu aliwahi kutafsiri maana ya Mayalla...kisukuma
 
Nilifikiri kuwa wewe ni mwandishi nguli kumbe nawe una siasa za rejareja hivi.
Kwa vile mimi ni mwandishi nguli hii inamaanisha polisi wakishindwa mimi ndio nitaweza kusaidia kwa unguli wangu? .
Kitendo tuu cha kueleza kuwa ni kawaida kwa polisi wetu kushindwa na kueleza wakishindwa huwaita Scotland Yard na wakishindwa nini na wakawaita na kueleza mpaka sasa wameshindwa nini hivyo kuhalalisha kuwaita Scotland Yard huoni ni unguli tosha? .
Paskal
 
Andrew na Paschal mmesema vyema lakini je ni nani anao utashi huo? Ingekuwa ni gharama tu tungechangia lakini utashi haupo. Maana hata how sy watawekwa kwenye Tundu la joka kubwa zaidi. Ila tujiulize tu ni kwa nini huwa tunasahau yuko mwenye mamlaka ya juu zaidi?
 
Tuanze na hawa
 
Attachments

  • tmp_19098-IMG-20170420-WA00252010081362.jpg
    tmp_19098-IMG-20170420-WA00252010081362.jpg
    63.7 KB · Views: 29
  • tmp_19098-IMG-20170420-WA0014950526162.jpg
    tmp_19098-IMG-20170420-WA0014950526162.jpg
    86.2 KB · Views: 29
Naunga mkono hoja, Scotland Yard waitwe kusaidia, hata BOT ilipoungua, polisi wetu walishindwa hivyo Scotland Yard waliitwa. Na rushwa ya Rada ya BAE pia tulishindwa Waingereza wenyewe wakafanya kila kitu, hadi aliyehonga akakiri kuhonga ila akaomba asitoe majina bali alipishwe tuu faini kwa non disclosure na ndio hiyo cheji ya rada.

Hata kampuni ya Kagoda iliyokwapua bilioni 40 za EPA tumeshindwa kuichunguza hadi kesho, hivyo ni kweli tuombe msaada watusaidie na hata suala la MV Bagamoyo wanaweza kusaidia!.

Paskali
dogo huogopi kukamatwa?
 
Back
Top Bottom