Asa wakitaka Jeshi la Polis lifanye kazi kimatabaka ndani ya nchi mmoja hapo wanakosa .
Simply waache tu vuruguvurugu mda huu na kauli za utengano ...dola imeshachukuliwa na.upande mmoja ,sote sasa tuijenge nchi hadi hapo watakapota Fursa nyingine 2020 wauze sera kwa wananchi . . Ila nw tufanyeni kazi sasa .. Siasa ismekua kama Cancer kwnye Ubongo wa Watanzania .