Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Wameona haitoshi kuzungumza huko mtaa wameamua waamie hadi makanisani kupelekea ujumbe wao.
====================
Mkaguzi wa Polisi Daniel Nyolobi ambaye ni Mkaguzi Kata wa Kirua Wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro ametembelea makanisa na kuzungumza nafasi ya kila Mtu katika kutunza AMANI na Utulivu Nchini.