Polisi wakiwa wamelala kazini

Polisi wakiwa wamelala kazini

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Hawa jamaa huu uchaguzi sio mchezo
attachment.php
 

Attachments

  • 1446125022170.jpg
    1446125022170.jpg
    32 KB · Views: 3,663
aisee.. Nmecheka sana huyu jamaa aliyepga picha sijui aliwanyatia vp. Maana wangemuona angekula cha moto
 
Kuna watu majasiri, kama Huyo aliyepiga picha
 
Yataka moyo kupata ukodak wa askari mwenye uchovu na njaa katika oparesheni ngumu ya uchaguzi...hongera saana mpiga picha.
 
Polisi huwa wanapenda kuwanyanyasa sana raia, wanasahau kwamba nao maisha yao ni ya walala hoi.
 
Alaf huyu polisi wa mbele ni wakike
 
Huyo aliyevua na buti ndio noma, kaziweka karibu ili mpiga picha asijekuziiba buti zake
 
Dduh! Huyo wa nyuma ni dume au jike? Alafu wa mbele anaonesha ana paja balaa!
 
Back
Top Bottom