Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Unazingua,Nchi ikikosa vita haya ndio matatizo yatayojitokeza, wanatafuta pakuvalia hayo manguo hawapapati, wanatafuta pakurushia hayo mabomu hawapapati, matokeo yake watayarusha kwa wananchi wanaoshangilia mwaka mpya!.
Wapelekeni huko nchi za watu wakatulize ghasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aapo chacha!Kwani Makomandoo huwa wanavaaje?
Nchi ikikosa vita haya ndio matatizo yatayojitokeza, wanatafuta pakuvalia hayo manguo hawapapati, wanatafuta pakurushia hayo mabomu hawapapati, matokeo yake watayarusha kwa wananchi wanaoshangilia mwaka mpya!.
Wapelekeni huko nchi za watu wakatulize ghasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguchiro kweli ww kwani waliajiriwa kwaajili ya kupigana nchi za watu?Nchi ikikosa vita haya ndio matatizo yatayojitokeza, wanatafuta pakuvalia hayo manguo hawapapati, wanatafuta pakurushia hayo mabomu hawapapati, matokeo yake watayarusha kwa wananchi wanaoshangilia mwaka mpya!.
Wapelekeni huko nchi za watu wakatulize ghasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo liko wapi?Akili za kijinga sana hizi! Huoni tatizo hapo? Buku 7 zinawalewesha sana
Sent using Jamii Forums mobile app