Nipe namba ya kova nimwambie hii operation iwe endelevu. Dawa ya njaa ni kula, kwa nini nyie mnakuja kukaa mjini?leo mida ya saa nne posta dsm polisi wameendesha kamatakamata. ukionekana umekaa kama huna kazi umedandiwa, mara umevuliwa kofia yaani shida tupu wanachotafuta hakijulikani. nadhani imefika wakati kama hawataki wasio na kazi kuja mjini waseme tu maana watu kibao wamekamatwa na pesa kibao imetoka kama rushwa ya kuwaokoa jamaa.sio ki la mtu ana kazi mjini jamani wengine tunakuja kuganga njaa hatuwezi kukaa majumbani tutakufa njaa.
Nipe namba ya kova nimwambie hii operation iwe endelevu. Dawa ya njaa ni kula, kwa nini nyie mnakuja kukaa mjini?
aseeeewe kweli boya, namba ya Kova angalia kwenye phonebook ya simu ya mke wako!
leo mida ya saa nne posta dsm polisi wameendesha kamatakamata. ukionekana umekaa kama huna kazi umedandiwa, mara umevuliwa kofia yaani shida tupu wanachotafuta hakijulikani. nadhani imefika wakati kama hawataki wasio na kazi kuja mjini waseme tu maana watu kibao wamekamatwa na pesa kibao imetoka kama rushwa ya kuwaokoa jamaa. sio kila mtu ana kazi mjini jamani wengine tunakuja kuganga njaa hatuwezi kukaa majumbani tutakufa njaa.
Aisee, kumbe wewe ndo ulimwibia simu mke wangu. Kama siyo, umejuaje kuna simu ya kova? Posta unaenda kuiba halafu unadai eti unaenda kuganga njaa!we kweli boya, namba ya Kova angalia kwenye phonebook ya simu ya mke wako!
Enzi za mwalimu tulikuwa na vijiji vya gezaulole, wazurulaji wote wa dar walipelekwa huko wakalime viazi. Hakuna kukaa mjini bila kazi.hii inatakiwa mikoa yote watu walime mvua zinaanza .dar kote
Aisee, kumbe wewe ndo ulimwibia simu mke wangu. Kama siyo, umejuaje kuna simu ya kova? Posta unaenda kuiba halafu unadai eti unaenda kuganga njaa!
Unakamatwa kwasababu hujui sheria za nchi na hujui katiba hakuna sheria inayo mpamamlaka polisi kukamata wewe kama umekwenda mjini una haki ya msingi kwenda kokote kikatiba ilimradi tu usivunje sheria unatakiwa kumuhoji huyo polis anakushika kwa kosa gani?am sure wanoshikwa ni vibaka tu mtu na heshima yako hawawezi mbona mimi hawakunikamata na nilikuwepo mitaa ya posta kotokuwa na kazi sio kosa tatizo lenu shule mmekimbia
Kumbe huishii kuiba simu tu hata wake za watu unaiba? We wakupeleke tu ukanyee debe u-yahaya wako umepitiliza.angekuwa hana ningekuambia uangalie, unazidi kuthibitisha uboya wako. kusoma hujui hata picha huoni!? mimi ndio basha wake!
Enzi za mwalimu tulikuwa na vijiji vya gezaulole, wazurulaji wote wa dar walipelekwa huko wakalime viazi. Hakuna kukaa mjini bila kazi.
Kumbe huishii kuiba simu tu hata wake za watu unaiba? We wakupeleke tu ukanyee debe u-yahaya wako umepitiliza.[/QUOTE
shenziii...!!!!umenichekesha sana dizin nilkuwa nafatilia haya majibishano yenu
leo mida ya saa nne posta dsm polisi wameendesha kamatakamata. ukionekana umekaa kama huna kazi umedandiwa, mara umevuliwa kofia yaani shida tupu wanachotafuta hakijulikani. nadhani imefika wakati kama hawataki wasio na kazi kuja mjini waseme tu maana watu kibao wamekamatwa na pesa kibao imetoka kama rushwa ya kuwaokoa jamaa. sio kila mtu ana kazi mjini jamani wengine tunakuja kuganga njaa hatuwezi kukaa majumbani tutakufa njaa.
kumbe kwenda shule ni kujua kila sheria ok!