Polisi wadaiwa kuomba rushwa ya Milioni 10 kwa Mange Kimambi

Mange kama biashara haramu, hakuna anaekiri kuitumia hadharani ila ikiingia sokoni inaisha faster. Ndio kama watu humu na twitter wanavyoigiza, anakuambia hana time nae ila habari za page na app yake anazijua.. Sijui Watu mtaacha lini unafki
 
Arudi Tanzania tupishane nae barabarani kama watu/wana harakati wengine ; kimuonekano wa kawaida anaipenda sana Tanzania ila cha ajabu ana onekana anaisukuma.
 
Mange kama biashara haramu, hakuna anaekiri kuitumia hadharani ila ikiingia sokoni inaisha faster. Ndio kama watu humu na twitter wanavyoigiza, anakuambia hana time nae ila habari za page na app yake anazijua.. Sijui Watu mtaacha lini unafki
kweli kabisa Mkuu :D
 
Aseme ni nani alimtumia video ya Prof jay. Anachofanya mange ni kutafuta sympathy ili aliyechukua video yaa Prof ja asijulikane. Mange ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.
Wiki iliyopita akiandika Prof J muda wowote anafariki. Sasa mtu Kama huyo unaona ana akili kwel?
Mange kukwambia mgonjwa atafariki elewa amepewa taarifa na wauguzi wakiona mabadiriko ya mgonjwa. Na usitegemee atoe taarifa ya informer wake. Police wamekosa ushahidi kwa walio waweka ndani, lakini kuingia ni bure, kutoka...
 
Mange akimwaga mboga pamoja na ugali wa Polisi😁😁😁
 
Askari nawaoneaga huruma sana, Kwanza rushwa haiombwi.
Ila mtu anakubembeleza akupe

Tena huku ujichagua maeneo rafiki na mazingira mazuri ili kuepuka mitego

Pia mtu mwenye akili Kama za Mange hata akubembekeze vipi hauwezi kupokea
 
Hilo sakata la polisi kuomba rushwa sio geni, sasa waliwakamata wafanyakazi wa Mange na 13 , lakini 11 waliachiwa hawa 2 bado hawajaachiwa nadhani ifikie hatua polisi wajitambue na wanapoomba rushwa ya milioni 10 kwa mange walijua hatosema kweli kwa akili zao.

View attachment 2169654
Kama wameshindwa kupata ushahidi kwa issue kama hiyo ya Mange je mengine itakuaje kila siku tunasema polisi ifumuliwe bado haina weledi wa kwenda na dunia ya sasa.

Ila ni swala la Nyakati tu ndio litashape Mwendendo wa polisi,Kwa hali inavyokwenda Wananchi wengi wametoka uwoga kabisa na wanakataa kuonewa kama ilivyokua awali, Wananchi wengi wamepata japo elimu ya juu juu jua ya maswala ya Haki zao za msingi.
Itafika mahala Automatically tu Polisi hawataweza mnyima mtu dhamana bila sababu za msingi,
itafika mahala polisi hatoweza kumuweka mtu ndani kwa kesi za kubambikiza ,itafika mahala hakuna Polisi ataweza kumuweka mtu ndani kiholela bila kufuata PGO,na itafika mahala swala kupata Ushahidi halitafanikiwa Bila Police wenye uweledi,Elimu na Wenye Kutenda haki.
Itafika mahala tu , Ipo Siku.

Polisi walizoe mambo ambayo watu wengi kwa sasa wanaona ni kawaida,Walizoea wakishakukamata basi huna haki,walishazoea swala la kuomba Rushwa ni haki na ni halali kwao , Watu wamebadilika sana.
 
Mtu anayemuamini mange ni kichaa
hivi wewe unawajua askali wa bongo wewe? naona huwajui vizuri, sishangai kuomba rushwa hawa jamaa, hawa wanaweza kuomba rushwa hata kwa waziri wa mambo ya ndani, askari wa bongo ni wa aina yake
 
Aseme ni nani alimtumia video ya Prof jay. Anachofanya mange ni kutafuta sympathy ili aliyechukua video yaa Prof ja asijulikane. Mange ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.
Wiki iliyopita akiandika Prof J muda wowote anafariki. Sasa mtu Kama huyo unaona ana akili kwel?
Mwisho wa siku hakuna mtu yoyote anefanya kosa alafu akakamatwa akakubali kiurahisi kwamba ametenda kosa hivyo ni jukumu la police kudhibitisha pasipo shaka kwamba kuna kosa limetendeka pasipo kutumia nguvu bali weledi wa kimtandao
 
Mange kama biashara haramu, hakuna anaekiri kuitumia hadharani ila ikiingia sokoni inaisha faster. Ndio kama watu humu na twitter wanavyoigiza, anakuambia hana time nae ila habari za page na app yake anazijua.. Sijui Watu mtaacha lini unafki
imagine, watu wanafki sana, page yake wanachungulia kila saa, na hiyo app yake wanayo ila wakija humu wanamakasiriko eti hawamuamini wala hawamfatilii haha

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
hivi wewe unawajua askali wa bongo wewe? naona huwajui vizuri, sishangai kuomba rushwa hawa jamaa, hawa wanaweza kuomba rushwa hata kwa waziri wa mambo ya ndani, askari wa bongo ni wa aina yake
 
Back
Top Bottom