Polisi wachukulieni hatua hawa matapeli Moshi

Polisi wachukulieni hatua hawa matapeli Moshi

kiborinangai

Member
Joined
Mar 11, 2016
Posts
17
Reaction score
5
Habari za humu ndani wanajukwaa wenzangu

hapa mjini Moshi polisi wasipowatafuta hawa matapeli na kundi lao moshi pataharibika

Pius Mrosso au Asenga kwa jina maarufu huyu anafoji risiti za TRA na taasisi zingine na kuingia taasisi za fedha kutapeli Fedha kama Mabenki na taasisi zingine

Joachim Mchome anajiita Michael mchome na hivyohivyo

Polisi msipofanya CHUKUA hatua sijui itakuwaje
 
Kama taasisi nzito kama Benki wanashindwa kutambua risiti halali za TRA,basi watapeliwe tu maana hakuna namna.

Wanaingia benki kuchukua hela au kufanyaje?
 
Hawa watu uliowataja ni wafanya biashara wakubwa tu hapa Moshi, naomba ujazie nyama uzi wako otherwise zitakua ni chuki zako tu umepigwa bao kwenye kazi.
 
Ata kama wanatapeli serikali siyo mbaya kibaya ni kumuibia mlala hoi, kama vipi na ww kafoji hizo risiti maana hizo pesa za kwenye mabenki ni kodi za walipa kodi pamoja na yeye.
 
Acha kuchafua watu mkuu, hilo suala peleka vyombo vinavohusika, vinginevo hizo ni chuki binafsi tu
 
Moshi iko chini ya chadema lakini utapeli umezidi
 
Back
Top Bottom