Polisi wa Kenya

Polisi wa Kenya

Huyu nadhani ni kwaajili ya mfano wa afya mbaya; yaani anatumika kama sampuli kuonesha afya mbaya ya askari🙂
 
Huyu nadhani ni kwaajili ya mfano wa afya mbaya; yaani anatumika kama sampuli kuonesha afya mbaya ya askari🙂

inawezekana yupo kitengo cha upishi ndani ya jeshi la polisi
 
Ana kitambi sio haba kabisa
Kama cha marehemu wa toti
 
Huyu nina uhakika hafanyi mazoezi yoyote.

Mtumbo mkubwa anashindwa hata kuhema
 
Sijui alipitiaga depo huyu?

attachment.php


Huyu Atakuwa ni Askari Mfisadi wa Sirikali.
 
Back
Top Bottom