Polisi wa Arusha walalamika kutengwa na jamii

Polisi wa Arusha walalamika kutengwa na jamii

Hii hali ya polisi kutengwa hata mtwara ipo,polisi hapati chumba au nyumba uswahilini.nawapa pole sana polisi wapo katika mtego mbaya

Nadhani PK Pinda alipo agiza wapige na kuua alisahau sana kwamba hao wanaoagizwa kupiga na kuua tuko nao mtaani! Pengine ni jambo jema ili nao askari wanapo agizwa kufanya ufirauni wachanganye na za kwao!
 
Tupeni taarifa za mzee wa kulipua aliyetamgulizwa mbele, pisto lero unaogopa nini
 
Wassira naye katilia mkazo hilo leo Bungeni. Nadhani IGP atoe tamko la kukana kuwa hawatafanya hivyo maana hawa Mawaziri kauli zao zitawaponza askari huku mitaani. Uadui ukiachwa ujengeke ni askari na familia zao ndio wataathirika zaidi.
 
Ifikie kipindi POLISI nao wawe wazalendo.Kama imefikia hatua ya kutengwa na jamii, basi wataishi maisha ya kuteseka sana kwa ajili tu ya Maamuzi mabovu ya viongozi wao.
 
Hawawezi kukwepa lawama. Hizi taarifa za hujuma na mashambulizi kwa namna yoyote wanakuwa nazo hata kama sio wao watekelezaji. Wanapaswa kuwa wazalendo hata kwa kupenyeza taarifa kuwa kuna mipango ya hujuma imepangwa. Wasubiri tu tunakusanya hasira na ndo watajua uchungu wa kuomboleza misiba.

Hakika,wakati wa uchaguzi mkuu 2010 ni polisi waliowatonya wananchi kwamba wasikubali wala kuruhusu magari ya JWTZ kupita na kuelekea kituo cha kujumlishia na kutangaza matokeo jimbo la Ubungo kule Mabibo, Loyola High School.

Polisi wazalendo walikuwa wanajifanya wakali kwa wananchi LAKINI kwa kificho wakitoa ujumbe huo kwa wananchi waliokuwa wakilinda usalama wa kura zao kwamba "Wasithubuti kulipisha gari lolote la JWTZau gari la serikali kujipenyeza kituoni" ilikuwa kazi njema.

Ni waase hao polisi wanaotumika kwamba wajiulize wenzao waliotumika kuuwa, kutengeneza kutengeneza na ushahidi wa kesi za kubambikia viongozi wa upinzani, kulinda ufisadi wa vigogo wa serikali ya CCM wako wapi? wengi wa askari hao wameuawa ili kulinda ushahidi usivuje nje. Waangalie wanatumika kama toilet paper tu na SIO kama mashujaa.
 
Polisi wote hapa nchini ni kuwatengwa na kususiwa kabisa na jamii. Ni ujinga na ulimbukeni wa hali ya juu binadamu kukubali kwenda kuua raia wenzako wasio na kosa lolote kisa anayekutuma amekupa bunduki ama bomu kama kitendea kazi.

Akili za polisi wetu ni pungufu ya akili za mbwa kwani japo mbwa ni mnyama na hakujaliwa utashi lakini anao uwezo wa kutambua mtu mwenye hila mbaya ama muovu na kamwe mbwa hawezi kumdhuru mtu mwenye nia njema hata ni mgeni machoni mwa huyo mbwa.

Nashindwa kuelewa aina ya polisi tulio nao hapa nchini kwetu. Pamoja na hali ngumu ya maisha inayowakabili lakini wao wanajifanya kana kwamba wanaishi dunia nyingine tofauti na raia wengine. Ni vyema pia ukafanywa mkakati wa pamoja kwa wenye vyombo vya usafiri wakawa wanawadai nauli badala ya kuendelea na tabia waliyoizoea ya kudandia bure.

Ni vyema pia kwa wale wenye watoto wanaokua sasa muwe mnawaasa kuwa kazi ya upolisi haifai kabisa kufanywa na binadamu na kuwa polisi yeyote hana utu na hafai kabisa kupata ushirikiano ama msaada wowote kutoka kwa jamii
 
Nadhani PK Pinda alipo agiza wapige na kuua alisahau sana kwamba hao wanaoagizwa kupiga na kuua tuko nao mtaani! Pengine ni jambo jema ili nao askari wanapo agizwa kufanya ufirauni wachanganye na za kwao!

Nafikiri wakati umefika wa kuanza kuwachinja na kuwawekea sumu kama walivyofanya Wapemba. Wao wana bunduki na mabomu yaliyonunuliwa kwa pesa zetu za kodi lakini wananchi wana nyengo, visu, mapanga na mawe walivyovipata kwa akili na maarifa yao wenyewe bila kutegemea huruma ama msaada wa mtu yeyote.

Kwa nini Kikwete aendelee kuwatumia kuongeza idadi ya yatima, wajane na vilema ndani ya nchi yetu wakati mwaka 2005 aliwakuta watu wakiwa wazima wa afya na ni watu hao hao alizunguka nchi nzima akiwaahidi maisha bora.

Iweje wakati huu akiwa amebakiza miaka miwili anaamua kuwagukia na kuanza kuwatesa na kuwaua? Mbona alidiriki kusema kuwa akiwakamata mafisadi nchi itayumba, haoni kwa kuendelea kuua na kuongeza idadi ya yatima, wajane na vilema ndiyo nchi itayumba na kukosa uelekeo kabisa?
 
Sasa walidhani jamii ya Arusha iwasifie kwa waliyowatendea?

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
CWT imejishindwa yenyewe....eti leo ianzishe kutetea jamii! teh teh sio grasian mukoba
 
Kilicho baki ndo hicho kuwasusia hata shughuli za kijamii mfano misiba, harusi, kipaimara, ubatizo, Eid n.k wawe wanawaleta ccm wawasaidie.
 
Leo mida ya saa kumi na moja natoka zangu home ili nikawahi daladala ile kupita jirani na.nyumba moja namuona polisi mmoja nae ndo anatoka nje nadhani naye alikuwa anawahi kibaruani, nikajikuta namwangalia vibayaa...., kwa kweli polisi wako katika mtego mbaya sama, ccm 2015 wajiangalie kwani hawa wanaowatumia sasa wataweza ku revolt kwani bosi mwenyewe ndo atakuwa out going...
 
Eboo! Nyie mnajiandaa kuwakomesha? Sio vibaya endeleeni tu na maandalizi kwa uwezo wenu na kwa nafasi yenu.
Mimi nimeanza kama wiki sasa, tangu siku iliyofuata baada mlipuko.
Kila demu Polisi huwa nahakikisha nimemla Tigo, mpaka sasa three down, thousands to follow....naomba nitumie fursa hi kuombeni radhi wanajamvi, maana aweza kuwa dada yako, mkeo, rafiki au vyovyote.
Kosa lake ni Upolisi wake na huewa hawachomoki.
Hii ni vita na imeshatangazwa PM, MIMI NAPIGANA KWA UWEZO WANGU TUSINYOOSHEANE VIDOLE.
 
Mkuu yule askari ameshatangulizwa kwenda kuzimu!

.
Kabaya zaidi wasichofahamu polisi wetu ni kwamba serikali ikiishamtumia polisi yeyote katika mauaji ya kupanga kama ya Arusha, kinachofuatia ni yeye kuuawa ili kupoteza ushahidi.
.
 
Na bado mimi binafsi nikiona polisi wa Tanzania najisikia kutapika, sitaki hata kumkaribia aaarrgggh
 
MADHARA YA CCM KUWATUMIA POLISI KISIASA NI HAYA.
1.Wanawafanya Polisi Washindwe kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi "Professionalism" badala yake kufanya kazi kwa kufuata mwangwi wa siasa.Mfano; Hivi kweli kwa kuzingatia weledi; Polisi wanatakiwa kuitegemea CHADEMA kama chanzo pekee cha Mlipuaji wa mabomu Arusha?


2.Wanasababisha Polisi washindwe kutoa huduma kwa mteja (wananchi) na hivyo kushindwa kufikia kigezo cha msingi cha kuwa "Customer focus".


3.Wakati fulani wanasiasa wanaweza kuwaamrisha polisi kutekeleza mambo ya kinyama na hivyo kulisababisha jeshi kutokuwa adilifu na kupoteza kigezo cha "
Ethics adhered".


4.Husababisha jeshi kushindwa kuwajibika kutokana na vizuizi vya kisiasa vinavyowekwa ili kulinda masilahi ya kisiasa ya chama na hivyo kidogo kidogo jeshi linapoteza sifa ya
"Accountability and responsibility"


5. Kwa kuwa askari nao ni watu, wana akili na fikra za kibinadamu (licha ya kufanya kazi kwa amri bila kuhoji), Itafika wakati watakuwa wanagawanyika kama watakuwa wakipewa amri tata (zinazopingana na uadilifu). Hali hii itasababisha kukosekana kwa "
Teamwork" miongoni mwa askari wetu na kila mtu kuwa na lake.


6.Hali hii itasababisha wakati fulani askari wafanye matendo yanayopingana na dhamira yao.Hii itasababisha kupotea kwa sifa ya msingi ya askari "
Honesty"

7. Kwa kuwa watakuwa wanaona wakubwa zao wanawaamuru kufanya mambo ambayo ni kinyume na inabidi wafanye, basi hawatakuwa makini hata kwenye matukio mengi kuhakikisha sheria zinafuatwa na hivyo kupoteza sifa ya "
Adherence to laws and regulations"


Madhara ya jumla ya hayo yote hapo juu ni kwamba wananchi watapoteza imani na jeshi la polisi na kudhani kuwa polisi ni adui na watu wa hatari hivyo kuepuka kushirikiana nao.Hali hii itasababisha wananchi wasiwe wanawapa polisi habari za msingi, wasiwe wanashirikiana na polisi,wasiwe wanawaheshimu polisi na hata wakiona polisi kapata mkasa fulani hawamsaidii kwa kuamini ni adui yao.Polisi nao kama binadamu hawatafurahia hali hiyo.wataichukia kazi yao na morali wa kufanya kazi utapungua.Hali hiyo itawapa mwanya wahalifu wengine kufanya watakavyo.Nchi itakapofikia hapo itakuwa ni nchi isiyotamanika kwa mtu yeyote bila kujali chama,rangi wala kabila.

Hata hivyo askari polisi (kulingana na mfumo) hawawezi kujinasua kutenda jambo walilotumwa (liwe sawa au si sawa/wanalipenda au hawalipendi).Katika mazingira haya, ni wajibu wa wale wanaowatuma polisi kufanya ndivyo sivyo wakaamua kuwa na utu kidogo na kuwaonea huruma watanzania wenzao.Ni bora CCM mkawaacha polisi walinde usalama wa raia na mali zao
.
 
Waendelee kutengwa.

Mie kuna polisi ameniandikia msg "Tunaomba mchango wako wa hali na mali kwa ajili ya arusi ya mtoto wetu, mchango wako ndio kufanikisha shughuli yenyewe"

Nimejibu kwa kifupi, "Sina urafiki wala ushirika na polisi. Over"
 
Kwakweli Serikali dhaifu ya ccm imewafitinisha polisi na ndugu zao ambao ni raia wakawaida. Nashangaa sana kuona seruikali hii dhaifu ilivyojisahau na kutoa kauli tata kila inapotakiwa kauli makini. Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu
 
Back
Top Bottom