polisi tusaidien kukomesha uhalifu

polisi tusaidien kukomesha uhalifu

ben mzawa

Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
6
Reaction score
1
hali imebadilika ck hizi huku tabora kumekuwa kuna matukio ya ajabu yanayotufanya tukose aman ambapo kunavikundi vya uhalifu vinavyoundwa na vijana ambapo ufanya matukio ya wizi usiku kwa kuvunja milango ya watu na kuingia kuiba pasipo uoga vile vile kundi hilo la vijana limekuwa likizunguka uck kuanzia saa 6 uck na wakikutana na mtu yeyote muda huo basi wanamlazimisha awape vitu vya thaman na akikataa bas wanamjeruhi kwa kumpiga mapanga hali hii inatutia sana hofu hasa inapofika uck tunaomba polis watusaidie kukomesha hali hii kwan ndo kwanza inaanza ikikithiri itakuja kuleta matatizo makubwa japo kwa sasa imeshaleta matatizo kwa baadhi ya watu mm mwenyewe mmoja wao
 
Back
Top Bottom