Agent-47
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 783
- 2,780
Hawa jamaa wanashangaza sana.
Juzi walitoa tamko ya kuwa wanapiga marufuku maandamano kwa sababu walioyapanga hawako nchini.
Wakati huo huo wanatangaza kukamata vijana kadhaa kwa kuratibu maandamano.
Mnataka wahusika wawe nchini ili kusudi mtoe kibali wakati huo huo walioko nchini mnawakamata?