Nimekuwa safarini siku mbili hizi na nimeshuhudia rushwa nje nje imekuwa kama tuko Nigeria vile. Yaani traffic police wanasimamisha magari halafu hawaji kwenye gari konda anazunguka nyuma ya gari anampa hela. Na hiki kipindi naskia wanatafuta hela ya sikukuu ni wamejaa humo barabarani usiseme.
Kilichoniuma ni kuwa kimsingi polisi ndio wasimamizi wa sheria lakini wanachukua rushwa huku raia wakishuhudia. Hali hii inatisha. Mbaya sana. Hata watoto wadogo wanaona wanajifunza nini? TAKUKURU Wapo na hawaoni haya yanayotokea. Mbaya!!!

Kinachonishangaza TAKUKURU ipo na sijasikia hata siku moja wamemtia mbaroni askari wa barabarani kwa rushwa.Ni rahisi sana kuwawekea mtego hawa matraffic lakini takukuru ipo kama mbwa anayebweka bila kuuma.Nimekuwa safarini siku mbili hizi na nimeshuhudia rushwa nje nje imekuwa kama tuko Nigeria vile. Yaani traffic police wanasimamisha magari halafu hawaji kwenye gari konda anazunguka nyuma ya gari anampa hela. Na hiki kipindi naskia wanatafuta hela ya sikukuu ni wamejaa humo barabarani usiseme.
Kilichoniuma ni kuwa kimsingi polisi ndio wasimamizi wa sheria lakini wanachukua rushwa huku raia wakishuhudia. Hali hii inatisha. Mbaya sana. Hata watoto wadogo wanaona wanajifunza nini? TAKUKURU Wapo na hawaoni haya yanayotokea. Mbaya!!!
hili suala la kawaida sana,nilidhan wamefanya tukio la ajabu,ww unadhan Mpingo ambaye ni kamanda wao hajui???
Kwanza mimi sio mtoto nimeshuhudia kwa macho yangu. Ikaniuma kwa ajili ya nchi yangu. Kwa nini rushwa imekua hadharani kiasi hiki? Tunaipeleka wapi nchi yetu? Trafiki hawana hata aibu.
Wamezidi sasa maana hata madereva wanalalamika maana imebidi apunguze dau alianza na buku mbili akashuka hadi jero kaona karibu kila kituo wapo. Na traffic wasivyo na haya wanachukua tu.
Nadhani kupambana nao hawa ni kuanza kuwapiga picha wakati wanapokea rushwa na kuziweka hapa. Ukiona polisi amekaa mkao wa kuchukua rushwa tu barabarani toka kwa konda au dreva basi ni kuhakikisha unachukua picha pesa zikiwa bado mikononi kwa konda na picha nyingine zikiwa mikononi mwa polisi.
Nimekuwa safarini siku mbili hizi na nimeshuhudia rushwa nje nje imekuwa kama tuko Nigeria vile. Yaani traffic police wanasimamisha magari halafu hawaji kwenye gari konda anazunguka nyuma ya gari anampa hela. Na hiki kipindi naskia wanatafuta hela ya sikukuu ni wamejaa humo barabarani usiseme.
Kilichoniuma ni kuwa kimsingi polisi ndio wasimamizi wa sheria lakini wanachukua rushwa huku raia wakishuhudia. Hali hii inatisha. Mbaya sana. Hata watoto wadogo wanaona wanajifunza nini? TAKUKURU Wapo na hawaoni haya yanayotokea. Mbaya!!!
Asilimia 99% mabasi na magari mengi Tz ni mabovu na hayana sifa thabiti ya kuwa barabarani, unalijua hili kwanza? Watoa rushwa ndo wa kulaumiwa kama uko sahihi kwanini utoe rushwa?